What's Happening Now around Nairobi University

babtut

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
1,094
711
Ulinzi ni mkali hapa maeneo ya Nairobi University kuanzia asubuhi na mapema.
Leo Nairobi hakuna car traffic jam kubwa tofauti na tulivyozoea.

Wakenya najua hampendi kutangaza sintofahamu inapotokea ndani ya nchi yenu mkiogopa watalii na wawekezaji watapata picha mbaya lkn mtujuze tu kidogo what's going on here kwa sababu nimepita maeneo haya mara ya tatu sasa naona wanafunzi wameanza kulisonga gari moja la washawasha.



MK254 Boda254


MOTOCHINI nisaidie kuita na wengine watupe taarifa zao
 
Back
Top Bottom