daughter
JF-Expert Member
- Jun 22, 2009
- 1,275
- 745
- Thread starter
- #61
Duh! Pole sana dada!
naelewa mateso unayoyapata. Kupenda pasipopendeka ni sawa na kujichimbia kaburi kabla hujafa. Mi yameshanitokea na niliumia sana. Lakini muda uliniokoa. Just vumilia, jaribu kumtoa mawazoni. Kadiri muda unavyoenda, taratibu utajikuta unamsahau. Then the sweetest moment inatokea anapokuja yule ambaye mtapendana........ hutamkumbuka hatibreka wako, na atageuka mara moja kuwa CRAP!
Babu asante kwa busara zako
Basara kama hizi zina thamani kubwa kwetu sisi wajuku
ubarikiwe