ZLATAN
Senior Member
- Oct 5, 2010
- 150
- 18
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali
Ndg yangu Daughter, ni wewe pekee ndiye utakayeamua kuendelea kumpenda au kuacha kumpenda huyo unaesema na kufikiri kuwa umekosea kumfanyia maamuzi. Wazo na ushauri wangu kwako: Kama vile ulivyoamua kumpenda basi vivo hivyo utaweza kuamua kumtoa moyoni mwako na kumuona wa kawaida.
Every man is the architect of his own fortune.