What will u do if u find out the women you fell in love with is in actuality a man?

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,161
1,539
Wadau nimeshuhudia hii kitu leo jamaa alikua na demu wake kumbe huyu demu alikua na mwanaume lakini alijibadilisha jinsia na kua mwanamke. Kitaalamu watu hawa wanaitwa Trans Sexual.

Jamaa hasikii habari yoyote anasema waachane kwa kua yeye si shoga kwamba alale na men mwenzake.

Dume jike ukimuona huamini kwa sababu yuko very hot
 
bongo hii hii?na anaonekana jike kabisa?yani mi leo nikiambiwa mke wangu alikuwa dume nothing will change,si namuona mrembo na nimeridhika tatizo liko wapi?
 
bongo hii hii?na anaonekana jike kabisa?yani mi leo nikiambiwa mke wangu alikuwa dume nothing will change,si namuona mrembo na nimeridhika tatizo liko wapi?

Tatizo hatozaa

Hata kama nini ningechapa lapa...mimii kiniweke isitoshe kwa kunidanganya muda wote huo thinking is the opposite gender.
 
Watu wengi wana dark secrets, kama kila mtu angeamua ku reveal zake basi pasingetosha! Kama mtu umempenda kweli basi you should be able to accept their weaknesses!
 
As long as, moyo ulishtuka na kuhama kutoka ktk line of true feelings, then everything is over... Ni kusepa tu.
 
anacho kifaa kulingana na matarajio ya mwenza wake au hana? kama anacho, ni mwendo mdundo tu
 
Mkuu umenikumbusha kuna kesi ilitokea uingereza zamani inahusu ishu unayoizungumzia wewe..nadhani inaitwa baxter v. Baxter hembu igoogle upate material facts,arguments,decision ya mahakama na reasoning behind..jamaa aliomba talaka..ila ye alijua hata kabla kuwa yule ni dume aliyefanya kitu kinaitwa transexual operation
 
Tatizo hatozaa

Hata kama nini ningechapa lapa...mimii kiniweke isitoshe kwa kunidanganya muda wote huo thinking is the opposite gender.

Kama wameweza kutengeneza nanino watasindwa mfuko wa ndani? Mzungu sio malechela asee:heh:
 
Du nitasitisha love maana hapo ni starehe tu na si unyumba hamwezikuwa na familia
 
Back
Top Bottom