Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Umeolewa na mmeishi kwa muda(miaka) mwingi, mumeo ni askari/Mwanajeshi kwa hiyo kuna kipindi anakuwa zamu ya usiku. Siku mmoja ukaja kustukia kuwa mumeo anajihusisha na mambo ya ujambazi nyakati za usiku lakini hukuaga kuwa anaenda kwenye zamu yake kituoni. Mdada utandelea kuishi naye na kutunza siri au utatimuka mambio?