What U think she's doing?

45314_114080355415755_314709423_n.jpg

Anaosha nywele saloon
 
Mkuu wewe ndio umeharibu kabisa bora wa kwanza....

Kwahio Mkuu tungeweza kusema..
Unadhani anafanya nini ?,
What do you think she is doing ? (au sababu alishatenda na hili tukio ni kwenye picha tungeweza kuuliza)
Unadhani alikuwa anafanya nini ?
What do you think she was doing ? (nadhani ndio perfect kabisa as tukio limeshatendeka na hii sio live wala sio streaming)

ni hayo tu mkuu...

Ahsante kwa somo ,yote hayo ni kwasababu ya sekondari za kata za Lowassa!!
 
Mkuu wewe ndio umeharibu kabisa bora wa kwanza....

Kwahio Mkuu tungeweza kusema..
Unadhani anafanya nini ?,
What do you think she is doing ? (au sababu alishatenda na hili tukio ni kwenye picha tungeweza kuuliza)
Unadhani alikuwa anafanya nini ?
What do you think she was doing ? (nadhani ndio perfect kabisa as tukio limeshatendeka na hii sio live wala sio streaming)

ni hayo tu mkuu...
Na hii inafaa? what is she doing?
 
Sijui, sahihi ni ipi lakini nadhani unapouliza swali lazima kuwe na question tag!??? Wajuzi wa lugha tusaidie maana elimu haina mwisho. Nadhani hata kama tukio limeshatendeka unaweza sema "What do you think was she doing? Nahisi hivyo! Sina uhakika
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom