CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
me bibo . . . maana yake nini?
heee usinkumbushe!! hzo subiri ramadhani!!Majirani zangu wao wanajua tende tu :bounce:
loved by many but in love with none among themme bibo . . . maana yake nini?
tufaa....
tufaa....
hlo maana yake!! broken heart with fear to fall in love again
unaogopa but umejilazmisha!!!lolsi kweli mbona nime fall in love na hela?
Naona imeisha fika wengine huwa tunamuogopa sana mungu mwezi huo tunasahau kama mungu yupo kila siku.heee usinkumbushe!! hzo subiri ramadhani!!
nimetafuta MAFYULISI sijaona,ngoja nisepe
huwa nasikia wanasema adam na eve walikula tufaa ambalo kwa kidhungu ni apple. . .
Acha unafik ! Mbona nimeulizia kwa mwl wangu wa tuition kanipa jibu sio hilo ?
huyo mwalimu kama ni wa kike basi anakutaka.....
ndio hivyo sasa....halafu huyu shemeji yangu anabisha....
au wewe ni FENESI...?
Afu kuna Embe ya mdondo au Ndizi mkono wa elephant ya mdondo!
Ushakula hizo? Si mchezo !
Sungwii...tam hizo ucpime...
heeee we kongosho hayo ndio matunda gani??mie upuru, ngh'oroto na nhundwa salad.