What turns you off?

Inaonesha una uzoefu wa kutosha na watu wa aina hii....

pole mkuu, n-way ni mtazamo wako tu. btw nshakutana nao via my friend's bf, ama kusikia wakotoa stories bout them, wengne kupitia my normal friends cjui ni uzoef gan ambao wewe wauzungumzia.pia a had bf mwny 1 ya hzo tabia!
 
Aah! Upishi siku hizi tunajifunzia kwenye mtandao na tv! Hivi kuna mtu anashindwa kusoma 'chekecha 50g za unga wa ngano na kijiko 1 cha baking powder' afu ashindwe kufyatua msosi? Mtu mchafu habadiliki bana, akhuu! Na asiejua kupika mtakula hotel ama kula 'michemsho', sasa mchafu mtaishi gesti?
...Baadhi wanafundishika Charminggirl...wengine hata walimu wajitahidi vipi upishi umewapitia kushoto.
 
Last edited by a moderator:
Aah! Upishi siku hizi tunajifunzia kwenye mtandao na tv! Hivi kuna mtu anashindwa kusoma 'chekecha 50g za unga wa ngano na kijiko 1 cha baking powder' afu ashindwe kufyatua msosi? Mtu mchafu habadiliki bana, akhuu! Na asiejua kupika mtakula hotel ama kula 'michemsho', sasa mchafu mtaishi gesti?

hehehehe wengine hatupendi kula hotel bana!!!! hotel hakuna ugali na kisamvu cha nazi na pembeni dagaa za kukaanga na mawese...nimewaona kwa macho yangu waliofundishwa kupika na wakashindikana.....na chakula wanachopika hata machoni hakivutii.
 
Mwanafunzi kuchelewa kukusanya assignment halafu anasema kazi ililiwa na virus.
 
Hahahahaa...pole sana ticha..wanafunz kwa sound ndo mwake,kuna wale wazee wa deadline..
 
Mh! Hata siamini! Sasa kupika dagaa za mawese mwenyewe ukaweka frijini ukapasha kwa raha kila ukitaka. Tatizo la mtu mchafu hata ukisafisha yeye atachafua manake haoni tofauti! Aisee hapa utanipa mji!
hehehehe wengine hatupendi kula hotel bana!!!! hotel hakuna ugali na kisamvu cha nazi na pembeni dagaa za kukaanga na mawese...nimewaona kwa macho yangu waliofundishwa kupika na wakashindikana.....na chakula wanachopika hata machoni hakivutii.
 
Mh! Hata siamini! Sasa kupika dagaa za mawese mwenyewe ukaweka frijini ukapasha kwa raha kila ukitaka. Tatizo la mtu mchafu hata ukisafisha yeye atachafua manake haoni tofauti! Aisee hapa utanipa mji!

....Kuna raha yake kupikiwa banaaa....si umesikia siku hizi njembas zimeongezeka sifa ya wachumba watarajiwa!? wanataka ajuaye kukaangiza pia....kuanzia mahanjumati mpaka biriyani vinginevyo imekula kwake!!!
 
mka and HEART, tabia mbaya kufumbiana banaa, aah! Kama deadline leo ujue email itatumwa saa 2356 hrs!
 
Last edited by a moderator:
Mweh! High time niji-promote kipaji changu basi, manake hata kwa kusimuliwa saluni tu nikifika ntafyatua pishi!
Ila kama mtu alifundishwa kusoma na kuandika akaweza, akitaka kujifunza kupika anaweza aisee!
Nipe mji asiee BAK, hata Chinangali tu nikawe neighbour wa le mutuz! Usafi is about small small stuff, kufundisha minimum ni 10 yrs of consecutive living and sharing, gggrrrhhh!
....Kuna raha yake kupikiwa banaaa....si umesikia siku hizi njembas zimeongezeka sifa ya wachumba watarajiwa!? wanataka ajuaye kukaangiza pia....kuanzia mahanjumati mpaka biriyani vinginevyo imekula kwake!!!
 
Last edited by a moderator:
nywele feki, ngozi faki, nyusi feki, na wedding ring. not bad at all. teh teh teh. mfano wa kuigwa.

DSCI0615.jpg

hahahahaha lol! Erotica...Ngingi hilo linamsubiri mteja :):)
 
Last edited by a moderator:
Mweh! High time niji-promote kipaji changu basi, manake hata kwa kusimuliwa saluni tu nikifika ntafyatua pishi!
Ila kama mtu alifundishwa kusoma na kuandika akaweza, akitaka kujifunza kupika anaweza aisee!
Nipe mji asiee BAK, hata Chinangali tu nikawe neighbour wa le mutuz! Usafi is about small small stuff, kufundisha minimum ni 10 yrs of consecutive living and sharing, gggrrrhhh!

..... Best King'asti sijakataa kwamba uchafu is a big turn off katika mahusiano...ninachosema kujua kukaangiza pia kwa Walume wengine ni muhimu sana au mdada anaweza kudodea nyumbani...na pale juu pia uchafu nimeuweka.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakerwa na mwanamke mwenye gubu.

Yaaani,jambo haliishi ukikosea kidogo anakumbushia kosa la mwaka 47..hahhahaa..hata wanaume wenye gubu wapo. Halafu kuna type hii,kila ukikutana nae analalamika kuhusu kitu ambacho rafiki yake anacho tena anamsengenya kisawasawa..ila ukimtuma nae,kama hajawah kumsengenya...mmh? Watu wa design hii wanaboa sana..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom