What They Look Like Now.....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,584
This is 1990s RnB group En Vogue...this is what they look like now.....

1232024065envogue.jpg

Miaka inaenda na umri unaenda,soon wataanza kutembelea magongo ndiyo maisha hayo.
Lakini nilikuwa nawakubali sana wanadada hawa,walikuwa juu.
 
I like them! my kind of style 5 inches high....nikivaa hivyo pumkin utakuwa kama emolo.

No way...basi na mimi itabidi nivae Timbs zangu.....maana soli inchi mbili na hivyo nitakuwa bado nimekuzidi....hehehehe

au unataka nivae raizoni?
 
No way...basi na mimi itabidi nivae Timbs zangu.....maana soli inchi mbili na hivyo nitakuwa bado nimekuzidi....hehehehe

au unataka nivae raizoni?

Yeah hebu vaa hizo raizoni maana you will bring back old school with skin tight pant wee utatoka kinoma...ila kama tunaenda dinner timbs no way.
 
Yeah hebu vaa hizo raizoni maana you will bring back old school with skin tight pant wee utatoka kinoma...ila kama tunaenda dinner timbs no way.

Nitavaa timbs, kapelo, kata ku.ndu....halafu nitakuwa na kijiti mdomoni...hehhehehee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom