What stories are you following today?

Mimi leo Rock Cirry weather ni too cold , hivyo naandika hapa niko kwa brangeti.
 
Jg same to me blanketini. Ila duh u-single mtamu jamani hapa njiro hakuna kelele wala kukurukakara. Nikitoka hapa mswaki kuoga kwenda kupiga maji na nimemiss nyamaz chomaz kwa moromboz si nilishuka last nite kutoka outside? Nje bia ghali jamani.
 
Nje paint moja dola 6! Ambapo kwa hela zetu za madafu ni kama 9600 yaani bia 1 = 9600? Ndio maana kule naenda supermarket nanunua Grant's chupa kubwa napiga tartiib kwani bila hivyo baridi unakaribia kufriz. Banandeko j.pil. Njema
 
Jg same to me blanketini. Ila duh u-single mtamu jamani hapa njiro hakuna kelele wala kukurukakara. Nikitoka hapa mswaki kuoga kwenda kupiga maji na nimemiss nyamaz chomaz kwa moromboz si nilishuka last nite kutoka outside? Nje bia ghali jamani.

ha ha ha ha ila kitimoto za huku zinapigwa ARV
 
Jg same to me blanketini. Ila duh u-single mtamu jamani hapa njiro hakuna kelele wala kukurukakara. Nikitoka hapa mswaki kuoga kwenda kupiga maji na nimemiss nyamaz chomaz kwa moromboz si nilishuka last nite kutoka outside? Nje bia ghali jamani.
Aisey pole wee! Ila mie nnakuzidi , mwenzako sipo cngo! Hapa niko na BeibeNAstY meanwhile ananipa hakiyangu while nami nampa lihakilake ! Bariiida!
Ngoja akipita hapa my hun amisibitishieni !
Pls BN come on !
 
mmhhm..... Ngoja aje akuumbue
 
duh,leo hali ya hewa mza shwari my huz C6 cum ths way plz. . .
 
Last edited by a moderator:
Haka kabint kasekretari humu ofisini kananipa midadi? Duh.....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom