What Our Parliament Didn't want Us to Know

Kijakazi,

Heshima mbele mkuu, please sitck na the ishu ya Mwanakijiji at hand, Radar if kweli you are true to your words kwamba unasimamia haki za wananchi wanyonge bongo,

Tumechoshwa na personals hapa, hiki kijiwe mkuu ni international, na tunajua betwenn wewe na Mwanakijiji kwenye hii ishu nani so far anaandika pumba!

Please stick na ishu, sio messenger utaheshimika hapa forum!
 
Kwenye hiyo ripoti, kuna mambo mengi na mazito. Yaliyosemwa Bungeni siyo yote yalikanushwa na serikali ya Uingereza and hence tunaamini yalikuwa na ukweli. Kuna watu wachache wanaweza kutuambia kuhusu suala hili:

a. Rais Mkapa (huyu kasema kashastaafu siasa, so he is out)
b. Rais Kikwete (kasema Mkapa asihojiwe na yeye mwenyewe anadai hakujua BAE siyo kampuni ya serikali hadi akataka kuomba chenji)
Na wengine ambao walihusika moja kwa moja na ununuzi.

Utaona kuwa tulipewa ofa ya rada nyingine ya kisasa na yenye kukidhi mahitaji yetu tena kwa bei ya chini zaidi tukakataa tukidai "we are a sovereign nation".... why? Mbunge wa Uingereza anasema "I don't want to go that road.."..

Richmond, IPTL, na vingine ni watoto tu wa mikataba mibovu, hili la Rada ndio mama lao/baba lao!

Note: huyu ndugu anayetaka nitafsiri neno kwa neno kwa Kiswahili isije kufata atataka niwasomee pia ripoti nzima kwa vile kuna watu hawajui kusoma na kuandika!
 
Well done Mwanakijiji, tushapakua hiyo ripoti.Tunashukuru.
 
Asante Ndugu mwkji wewe ni mstaarabu sana, nimesoma na nimelewa kiasi fulani kuhusu hiyo nakala, na samahani kwa kwa usemi wa debe tupu kwani nilikuwa nimehamaki...
 
Tuna mengi ya kijifunza kutoka kwa wenzetu. Mexico's Freedom of Information Act ( which came baada ya kuung'oa utawala wa chama kimocha cha PRI ambacho kilitawala mfululizo kwa miaka 70!) guarantees the rights of the citizens to obtain information about their executive branch, and it actually puts a time frame within which the exec branch must provide the information or else wanaburuzwa mahakamani. there are some exceptions in relation to national security and economic interests....lakini ni mahakama ndiyo yenye uamuzi and not every dick and tom can interpret that!Sasa hapa kwetu bongo kila kitu ni siri hata kadi ya mwaliko wa kwenda cocktail party! Sembuse mikataba ambayo wakubwa wamekatiwa chao!

MKJJ am ready to book mark your new site. bring it on!
 
prince.. tovuti imechukua muda wangu mwingi na hasa ushirikiano wa wataalamu wa mambo haya toka Japani, Uswisi na Bongo kwenyewe. Natumaini itakuwa ni tovuti yenye kuendana na wakati na hasa huku tunakokwenda.

Jambo moja ambalo ninahitaji kulifanyia kazi nataka nipate waandishi wa kuturipotia kutoka nyumbani Tanzania, wapiga picha na video za Kamera ambao kama mimi tutaanza kwa kujitolea na endapo tutakuwa tumejikita vizuri kwenye mtandao nina uhakika tutaanza kuwalipa.

Nashukuru wana JF kadhaa ambao wamenisaidia kupata vifaa vipya ambavyo ni jana tu nimemaliza kuvifunga na kuviconfigure na mengine naendelea nayo pole pole. I hope tutaweza kufika pale tunapotaka kufika kwani kurudi nyuma haiwezekani tena.
 
Suala hili lilishatolewa maelezo na Mhe. Rais nashangaa kwanini bado mnalivalia njuga. Mmeambiwa tayari mtu kafikishwa mahakamani na wengine wako njiani. Wakati wadogo zenu na watoto wenu wanahangaika na mambo muhimu ya afya, elimu n.k nyinyi mmeng'ang'ania rada. Jamani tuiache serikali ifanya kazi yake.

asante.
 
ushakuwa wimbo na nadhani serikali inapenda kweli pale watu wanapoimba hii nyimbo ukizingatia serikali ilishatoa kiitikio !
 
unajua ukiusikia wimbo fulani mara nyingi inafika mahali unaukinai. Sidhani kama Watanzania wanataka kusikiliza tena wimbo wa "rada rada". Naomba tujadili mengine hayo ya rada yamekuwa "zilipendwa"

thanks.
 
yaani OLD SKOOL, zilipendwa !

mie mwenyewe nimechoka kusikia nyimbo (makelele) bila ya kiitikio (serikali kurepspond) kwa muda mwingi !

am out !
 
unajua ukiusikia wimbo fulani mara nyingi inafika mahali unaukinai. Sidhani kama Watanzania wanataka kusikiliza tena wimbo wa "rada rada". Naomba tujadili mengine hayo ya rada yamekuwa "zilipendwa"

thanks.

kwani sisi tunajadili wanachopenda watu wengine au kile sisi tunaona kinafaa tujadili? Simplist is the enemy of the truth. Wewe unajaribu kujibu maswali magumu kwa majibu rahisi na unataka kutufanya sisi sote hapa hamnazo kumbe kinyume chake ndio kweli. Kama haya madocument ni mazito kwako, kaa pembeni waachie wengine wenye vichwa vyao wachambue mambo. Tembelea thread zingine zenye udaku na ukada halafu weka post yako, lakini usijaribu kututoa kwenye laini sisi. We are in a serious business, if you're here to pass time, sorry but this might not be your place!
 
Suala hili lilishatolewa maelezo na Mhe. Rais nashangaa kwanini bado mnalivalia njuga. Mmeambiwa tayari mtu kafikishwa mahakamani na wengine wako njiani. Wakati wadogo zenu na watoto wenu wanahangaika na mambo muhimu ya afya, elimu n.k nyinyi mmeng'ang'ania rada. Jamani tuiache serikali ifanya kazi yake.

asante.

Bi. senti 50! mbona unanichefua? Hivi huoni kwamba kuna uhusiano wa moja kwa moja wa kutumia pauni 28 millioni kununua mfumo wa rada ambao Tanzania haina haja nao na elimu na afya duni?

katika uchumi tunajifunza the 'value of foregone alternatives'. in this particular case inamaana viongozi wetu walikaa wakaona bora tuwe wajinga na wenye maradhi lakini tupate rada kwa bei mbaya!

halafu unatumia maneno reja reja eti 'mmeambiwa'mtu kafikishwa mahakamani'. hii haina maana kwamba hoja hii imefungwa. kumbuka elimu na afya bora haviji hivi hivi tu. we must invest money in these sectors..na hela yenyewe ndio hiyo inanunua rada kanyaboya!

suala la msingi uone wabunge wa uingereza jinsi walivyokuwa na uchungu na maisha ya mtanzania kuliko bunge letu wenyewe hapa, pia jinsi walivoweza kuonyesha unafiki wa watu kama Tony Blair ambaye kupitia kamisheni yake ya Afrika ( mission town really)alikuwa anahuburi vinginevyo! baraza la mawaziri uingereza liligawanyika kuhusiana na mauzo ya hiyo rada....wakati baraza la mawaziri la tanzania liliona hiyo ni sawa. benki ya mabwanyenye (world bank) ambayo tunaituhumu siku zote kwa kukwamisha maendeleo yetu..angalau kwa hili walisimama kidete na wananch wa Tanzania..lakini serikali yetu wenyewe ikatuabisha!

kwenye dili moja hiyo tu mtu kalipwa bakshishi ya dola millioni kumi na mbili ili alainishe nyoyo za watendaji wakuu tanzania. sasa leo hii hao hao wakuambie kwamba kesi iko mahakamani utawaamini vipi kwamba haki inatendeka? nipe updates za mwenendo wa hiyo kesi.

tanzania bado ni nchi tegemezi, utamuona mheshimiwa kila kukicha yuko ughaibuni cup in hand akiomba hela za barabara, elimu, afya.....kwanini mlipa kodi wa ughaibuni akubali kumpa? this is not rocket science.

ninachokisema hapa ni kwamba siyo lazima kila mtu achangie kila hoja inayotolewa humu ndani. kama huna la kusema kaa kimya!
 
...bi senti huyo naye ni wale wale kina Mwiba,hawa watu ndio matatizo yote yanapoanzia kwa kuwapa mafisadi free pass,hata kama wanafikiri hizi discussions hazina maana lakini nina uhakika wanapata message na wanajua watu sasa sio wajinga
 
Miye hata simjibu.. naona watu wananitafuta tu. Jibo hoja ujumbe wa kwenye suala la picha ulishafika, sasa kwanini na yeye haamui kuniachia tu.. duh!
 
Miye hata simjibu.. naona watu wananitafuta tu. Jibo hoja ujumbe wa kwenye suala la picha ulishafika, sasa kwanini na yeye haamui kuniachia tu.. duh!

Mwanakijiji, Jibu ni kuwa hawajakomaa kisiasa, na inawezekana ndio wame upgrade kutoka Darhotwire na kuhamia huku. Ni wale ambao kila topic atachangia hata kama ni pumba!

Bado hao wasamehe bure! wakikua na kupata uzoefu wataacha!
 
Back
Top Bottom