What on earth is this?

Nondo alizopiga jana Kahama ni mwisho wa matatizo. Hakika he has born to bring a new bright future for all people of Tanzania
 
Slaa is the New Hope for Tanzania, I wish him well in the coming few days.... Mapendekezo yangu, atumie muda mwingi zaidi kuwaelimisha vijijini, hao ndio wataamua kama kutakuwa na chama kipya madarakani come 1 November 2010
 



Nimetoa kwenye fb ya Dr. Slaa...
Mzee Mwanakijiji, haya ni makundi tuu ya watu, hakuna uhakika wapiga kura halisi ni wangapi ambao kwao ndio wanabeba dhamana ya mustakabali wa maajaliwa ya nchi yetu.

Kitu kimoja ni hakika, mwamko kwa Watanzania uko juu, swali ni kwamba jee ile siku ya siku, watatimiza dhamira zao kwenye sanduku la kura?..

Ikumbukwe kila mjumbe wa mashina ya nyumba kumi kumi, kesha tayarishiwa fungu la kugawa nauli ya kuelekea kituo cha kupiga kura ikiambana na shibe ya siku moja ile siku ya kupiga kura. Tuwasubirie Watanzania kama bado wataendekeza njaa kwa kulinda ufisadi kwa shibe ya siku moja ikiambatana na njaa nyingine ya miaka 5, au watakubali hata kulala njaa, ili kutengeneza shibe ya uhakika ya miaka 5 mingine!.
 
Mkombozi wa wanyonge na mtetezi makini wa rasilimali za Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom