The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
- Thread starter
- #81
MJ1 at least haya maneno ya mwisho yamenifanya nicheke maana huzuni niliyokuwa nayo acha tuKbd kilema cha maisha huweki epuka....kilema si lazima kiwe physical haha (nakumbuka jinsi ambavyo kila nilivyokuwa nanyukwa jinsi nilivyokuwa nakinga reception (uso) maana umbo la kike sijajaaliwa ila uso ah nami nimo so nikawa nakinga kwa nguvu zote (ninacho kilema cha kiuno (nyonga) nloipata kwa kukinga reception lol I wish nisingekinga maana loh kwenye mambo yetu yale najikuta natakiwa kutumia nguvu za ziada hahahahahhaha ). But psychologically and all the usukule thing, the damege is so very big................... ninachomshukuru MUNGU ni ile hulka yangu ya kukubali na kusonga mbele. Mwenyewe ananishangaa halafu sina kinyongo nacheka na kuzungumza naye kama hatuna tofauti (we share a very handsome, strong adorable boy _ Mpenji wangu ) pamoja na kuwa he doesnt know mwanae anakula nini, anavaa nini, shule anaendaje au anatibiwa vipi akiumwa, sina kinyongo and I am always open aje (lakini haingii ndani kwangu) amchukue mwanae aende naye anapojisikia (ili mradi anamrudisha). Ni mwanae damu yake there is no point ya mimi kumzuia, but mimi kama MwanajamiiOne, ataendelea kunisikia na kunielewa kama mama wa his son, nothing more......na hilo analijua BUT si kwamba ni kwa ujasiri wangu au ujuzi wangu la hasha, it took me a long time (almost a year and a half) kufikia maamuzi haya na kustick to them.............ikiwa ni pamoja na kumeza machungu ya blames, kupoteza marafiki na kumeza lawama kutoka kwa watu ambao HAWAUJUI UKWELI WA MAMBO lakini wako tayari kugrab microphone na kutaka kusimulia yaliyojiri.
Najipa moyo, siku moja yatapita tu na penye ukweli uwongo hujitenga...............na ushaonekana.
Mbu, my Soulmate ninakushukuru kwa kunipenda na kunirudishia thamani ya maisha yangu hapa duniani lol. hahahahah lol leo mh..........The finest umenikamata