What Made You Stay?

tunasahau pia watu wakishakuwa abused wanaathirika kisaikolojia.......

they are not the same people we know,they dont think the same.....self esteem zao zinakuwa damaged.....

ukitaka kuthibitisha,tazama wanawake walioachwa wengi wanavyopenda kuitwa mrs fulani..
hadi huruma sometimes......
 
I just wish I can share a true life story with you darlings so that we put ourselves in the shoes of the ones who are abused and get stuck for what I can call 'fear of darkness'!! being blinded by what people will say, how will I be 'eyed', who will say what and how will that being said will be said! For how long will the 'say' prevail and how much will it pain, for how long!!

I just wish.
Pole Angela.
 
Mimi huwa siamini kuvumilia kwenye kupigwa maana hapa ni kuwa unakaribisha kifo leo na kesho baba anapandishwa kizimbani kwa makosa ya kumuua mkewe sijui hapo watoto wanapata picha gani
The Finest, inauma sana hivi ulishawahipata picha mwanamke anayepigwa kisawasawa, akaenda kushtaki kwa wakwe only to realize kuwa wakwe wanamshangaa na akaenda shtaki kwa wazazi wake, na kwa mshangao wake mkubwa akajikuta siku ya kesho mshtakiwa na mzazi wake wanacheka na kugonga kabla ya kesi?!!
Mwanamke anayepigwa akakimbilia police na kukutana na jbu la 'hayo ni mambo yenu ya ndani, sisi hayatuhusu' au 'we utakuwa tu umefumaniwa' tena hayo yakitoka kinywani mwa mwanamke mwenzie??
 
tunasahau pia watu wakishakuwa abused wanaathirika kisaikolojia.......

they are not the same people we know,they dont think the same.....self esteem zao zinakuwa damaged.....

ukitaka kuthibitisha,tazama wanawake walioachwa wengi wanavyopenda kuitwa mrs fulani..
hadi huruma sometimes......

Boss upo on point

Ndio haswa inayompa sababu mtu alokuwa raped kumuogopa aliye mrape Mara moja na kushindwa hata kutoa taarifa kunakohusika.

Hata awe msomi, hata awe anajua athari ya kilichompata hawezi kujizuwia kutoathirika Kama wengine tu. Hakuna ujanja
 
swali la msingi sana! je, wanawake wanaokosewa na waume zao,na wana nguvu za kupiga (wallah hata kama sikuwezi ntakudunda na stuli!!) nao wafanye hivyo?
Hahahaaa... Kwa hiyo ukiwa na nguvu kuliko mmeo utakuwa unamdunda akileta za kuleta?

hakuna mtu mwenye haki ya kumpiga mkubwa mwenzie. mapenzi ni hiari,kama unaona mpenzi hakufai si basi jamani? go and pursue happyness!
Ya... Ingawa tusiwalaumu wanaume all the time

abusive behaviour ni tabia ya mtu kwa sababu zilizojificha. huwezi ukamlaumu victim aliyepigwa. kuna njia nyingi muafaka unaweza kupatikana. hakuna mtu mwanamke wala mwanaume ana haki ya kumpiga mkubwa mwenzie, period!
Lakini on the other hand tukubaliane kuwa kuna wanawake vichwa ngumu, wakorofi, wagomvi na wanaosababisha waume zao wawadunde, sio bebii?

yes,ni kweli bebii, and its a fatal life mistake! hakuna kubadilika mikiingia kwenye ndoa,kitu ambacho wengi wanaamini hivi. kuna mambo mengi leo ukiangalia unagundua kua yalikuwepo toka enzi ni vile uliyachukulia kijuu juu!
kwaiyo kuna wengine waananziwa vipondo kwenye mapenzi wanapuuza sio?
 
The Finest, inauma sana hivi ulishawahipata picha mwanamke anayepigwa kisawasawa, akaenda kushtaki kwa wakwe only to realize kuwa wakwe wanamshangaa na akaenda shtaki kwa wazazi wake, na kwa mshangao wake mkubwa akajikuta siku ya kesho mshtakiwa na mzazi wake wanacheka na kugonga kabla ya kesi?!!
Mwanamke anayepigwa akakimbilia police na kukutana na jbu la 'hayo ni mambo yenu ya ndani, sisi hayatuhusu' au 'we utakuwa tu umefumaniwa' tena hayo yakitoka kinywani mwa mwanamke mwenzie??

MJ1 ni vitu vinavyoumiza sana sana, yaani baadhi ya wanaume ni wakatili mno. Mi nilishawahi kuomba ushauri hapa baba mwenyenyumba wangu anatabia hizo pia ila ukweli watu walinikatisha tamaa na kuniambia niache kihelehele hayo mambo hayanihusu. Na mwingine aliniambia nihame nyumba.

Jamii ingefahamu tu kuwa hawa watu wanaodhalilika ni binadamu wenzetu, ni mama zetu, ni dada zetu na pengine ni watoto wetu. Unless we change our attitudes na kuvaa viatu vyao sioni jambo hili likipungua any time soon.

Ubarikiwe sana the boss
 
I know,gal, i know! na mtu anakuwa na uoga ambao hausemeki! kuna rafiki yangu aliachana na abusive hubby, manake sio yeye tu alikua affected bali hata son wake wa miaka 6 alianza kukojoa kitandani! manake tukio lilikua kufa na kupona, ghorofani kafungiwa na kisu, watoto mlangoni crying 'dad, dont kill mom' na yeye shouting back 'namchinja'. ilibidi aruke ghorofa moja uzuri hakuumia sana japo ana makovu usoni! unfortunately they ar still fighting over kids. 2 yrs baada ya tukio,akasikia jirani yake anapigwa na mumewe na akajikojolea (she is 30+ yrs old,imagine!). kwa maoni yangu, mtu mwenye watoto ndo alipaswa aachane na abuser haraka sana,manake anatukuzia taifa la aina gani?

I just wish I can share a true life story with you darlings so that we put ourselves in the shoes of the ones who are abused and get stuck for what I can call 'fear of darkness'!! being blinded by what people will say, how will I be 'eyed', who will say what and how will that being said will be said! For how long will the 'say' prevail and how much will it pain, for how long!!

I just wish.
Pole Angela.
 
I just wish I can share a true life story with you darlings so that we put ourselves in the shoes of the ones who are abused and get stuck for what I can call 'fear of darkness'!! being blinded by what people will say, how will I be 'eyed', who will say what and how will that being said will be said! For how long will the 'say' prevail and how much will it pain, for how long!!

I just wish.
Pole Angela.
MJ1 acha tu kwa kweli niliishiwa maneno na maswali ya kumuuliza kutokana na hali niliyomuona nayo in short inauma sana naomba Mungu amsaidie nyie acheni tu haya maisha haya
 
The Finest..............this is so touchy jamani. Hivi wanaume wengine wamelelewaje/ hivi jamii yetu inafikiria je?.
Ni kweli kuwa hii inachangiwa na kutokujitambua lakini naamini pia malezi na jamii zetu kwa kiasi kikubwa zinachangia na kama kuwajibika basi a major transformation need to be done. Maneno ya ndoa ni kuvumilia yawe na mipaka i.e. limit? kuvumilia vitu gani na gani vya kutovumilia.

I have been there. Yes in a very abusive relationship tena ya mtu ambaye nilimpenda kiasi cha kusacrifice mambo mengi sana including elimu yangu and all that (najua mpo mtakaosema MWJ1 ulikuwa mjinga, unaacha elimu ikupite kushoto kwa ajili ya mwanaume!!? nitawaelewa). Sacriface nyingi sana ambazo nilizifanya kwa jina la mapenzi ! The Sacrifice ambayo ilinibidi niiweke katika moja wapo ya items muhimu na endelevu kwenye maisha yangu. Nikiwa kama binadamu ambaye siko perfect ninakiri na ninaamini kuwa nilikuwa na part yangu lakini kwa mtazamo wa nje na yale yote muhimu nilijitahidi (na yeye anakiri leo kuwa ali'pitiwa na shetani) nilikuwa mjinga na ilinichukua muda kurealize kuwa ninakuwa abused. (Ninapenda kuwajulisha kuwa MWJ1 wa enzi hizo ni yule alokuwa anafahamika kama mlokole....... yule ambaye alikuwa akimaliza kugawa tunda pamoja na kuwa ni halali anahisi anatakiwa kutubu!) Kila siku ikawa ni sacrifice, sacrifice only to realize kuwa haitokaa siku akatosheka na wala akabadilika. Ilinichukua muda kuamua kwanza kuuvunja ukimya na kisha kuchukua hatua ambayo nakiri haikuwa kazi rahisi hata kidogo na hii ilichangiwa na jamii niishiyo ambapo mpaka wazazi wangu (ambao si kuwa tu mimi ni mtoto wao wa kwanza, bali pia mtoto pekee kati ya watoto 5) ambaye angalau nilikuwa na kajidiploma kangu ualimu, hata hao wazazi walinifukuza wakitoa sharti la kurudi kwenye uhusiano wangu na huyo mwenza. Katika mwaka ambao sitakaa niusahau humu duniani ni mwaka ule. Nilijuta kuingia katika kifungo nikingali msichana (si mdogo sana) but nikingali mchanga ambaye sikuwa na pa kusimamia. Pocket money niliyokuwa napewa na wazazi ilikatwa, nikaishi maisha ya kuhangaika na kudowea kwa marafiki (namshukuru MUNGU sikuwahi kuwaza maovu zaidi lakini shukrani zangu za maisha ziende kwa rafiki yangu wa kike ambaye yeye pamoja na kuwa si tajiri bali aliwezakunikimu kwa kugawana pocket money aliyokuwa akichangiwa na dada zake na kunipa kalazi na chakula mpaka nilipomaliza chuo).

Haikuishia hao, chuoni nilipokuwa nasoma nilionekana msichana niliyeshindikana, anawezaje kuondoka kwenye mahusiano madhubiti kama yale! anataka awe huru ili awe changudoa, ameona anabanwa na maneno chungu mbovu kiasi cha kuona kabisa unapopita unanyooshewa vidole na unaposogelea kundi lal marafiki wanatawanyika. ! Mtaani ndio usiseme. Maisha yalikuwa magumu kupindikia mpaka MUNGU aliponibariki kazi yangu ya kwanza ambapo nilifanikiwa kuhama mtaa na chuo na kuanza maisha mapya, nikiwa nimetengwa na ndugu, jamnaa na marafiki isipokuwa rafiki yangu alitenivumilia nilipoanguka!

Mtu ukiyafikiria haya yote utagundua kuwa kujitambua peke yake hakutoshi bila kuwa na ujasiri na a hand to hold you on maana it is not easy at all. Mchana utatembea kichwa juu macho miita mia kujifanya u strong but usiku hulali kwa kulia na wengine kujiingiza kwenye ulevi kama si kunusuriwa na mauti.

unapoisoma hii post ninakuomba wewe mwanamke utafakari, ujiweke kwenye nafasi ya huyu MwJ1 (wa enzi hizo). Fikiria mazingira yote yanayoukuzunguka kuanzia thamani yake (kwa jinsi unavyoidefine wewe, wazazi wako na jamii inayokuzunguka)
2. Ukikumbuka kuwa decision making at household inatawaliwa na baba, mama anawezakuumia sana juu ya maumivu yako lakini kumbuka uamuzi wa mwisho unatolewa na mzazi wako wa kiume (wangapi ambao wazazi wao wa kiume wanasymphasize nao achilia mbali wale ambao hawana wazazi wa kiume au wana wazazi ambao si wazazi wa kumzaa)
3. Fikiria nafasi ya mwanamke mwenzioa ambaye hana kazi nzuri ya kumsustain yeye na wanae kama ataamua kuondoka kimoja; na mazingira yote yanayomzunguka..wanawake wengine hawana elimu, hawajui haki zao n.k

So ninawaomba ndugu zangu kabla ya kufanya "Victim blaming' ninawaomba tuwaangalie hawa wanawake wanaokuwa abused kutoka katika mazingira halisi wanayoishi. Am telling you wanawake ambao wana ujasiri wa kusimama na kuamua 'enough is enogh' wabebe misalaba yao na majukumu ya watoto wao ni 3 kati ya kumi.
Karibuni
 
finest

in every relationship there are abusive experiences... physical and emotional and all are inevitable as we have different backgrounds....

However, this one is too much and unacceptable... and the lady should ahve left looong time ago... my few coins tell that you dont have to wait until your are permanently debilitated to look out

thanks
Cousin there are things if you start to imagine them you get a lot of questions than answers
 
The Finest..............this is so touchy jamani. Hivi wanaume wengine wamelelewaje/ hivi jamii yetu inafikiria je?.
Ni kweli kuwa hii inachangiwa na kutokujitambua lakini naamini pia malezi na jamii zetu kwa kiasi kikubwa zinachangia na kama kuwajibika basi a major transformation need to be done. Maneno ya ndoa ni kuvumilia yawe na mipaka i.e. limit? kuvumilia vitu gani na gani vya kutovumilia.

I have been there. Yes in a very abusive relationship tena ya mtu ambaye nilimpenda kiasi cha kusacrifice mambo mengi sana including elimu yangu and all that (najua mpo mtakaosema MWJ1 ulikuwa mjinga, unaacha elimu ikupite kushoto kwa ajili ya mwanaume!!? nitawaelewa). Sacriface nyingi sana ambazo nilizifanya kwa jina la mapenzi ! The Sacrifice ambayo ilinibidi niiweke katika moja wapo ya items muhimu na endelevu kwenye maisha yangu. Nikiwa kama binadamu ambaye siko perfect ninakiri na ninaamini kuwa nilikuwa na part yangu lakini kwa mtazamo wa nje na yale yote muhimu nilijitahidi (na yeye anakiri leo kuwa ali'pitiwa na shetani) nilikuwa mjinga na ilinichukua muda kurealize kuwa ninakuwa abused. (Ninapenda kuwajulisha kuwa MWJ1 wa enzi hizo ni yule alokuwa anafahamika kama mlokole....... yule ambaye alikuwa akimaliza kugawa tunda pamoja na kuwa ni halali anahisi anatakiwa kutubu!) Kila siku ikawa ni sacrifice, sacrifice only to realize kuwa haitokaa siku akatosheka na wala akabadilika. Ilinichukua muda kuamua kwanza kuuvunja ukimya na kisha kuchukua hatua ambayo nakiri haikuwa kazi rahisi hata kidogo na hii ilichangiwa na jamii niishiyo ambapo mpaka wazazi wangu (ambao si kuwa tu mimi ni mtoto wao wa kwanza, bali pia mtoto pekee kati ya watoto 5) ambaye angalau nilikuwa na kajidiploma kangu ualimu, hata hao wazazi walinifukuza wakitoa sharti la kurudi kwenye uhusiano wangu na huyo mwenza. Katika mwaka ambao sitakaa niusahau humu duniani ni mwaka ule. Nilijuta kuingia katika kifungo nikingali msichana (si mdogo sana) but nikingali mchanga ambaye sikuwa na pa kusimamia. Pocket money niliyokuwa napewa na wazazi ilikatwa, nikaishi maisha ya kuhangaika na kudowea kwa marafiki (namshukuru MUNGU sikuwahi kuwaza maovu zaidi lakini shukrani zangu za maisha ziende kwa rafiki yangu wa kike ambaye yeye pamoja na kuwa si tajiri bali aliwezakunikimu kwa kugawana pocket money aliyokuwa akichangiwa na dada zake na kunipa kalazi na chakula mpaka nilipomaliza chuo).

Haikuishia hao, chuoni nilipokuwa nasoma nilionekana msichana niliyeshindikana, anawezaje kuondoka kwenye mahusiano madhubiti kama yale! anataka awe huru ili awe changudoa, ameona anabanwa na maneno chungu mbovu kiasi cha kuona kabisa unapopita unanyooshewa vidole na unaposogelea kundi lal marafiki wanatawanyika. ! Mtaani ndio usiseme. Maisha yalikuwa magumu kupindikia mpaka MUNGU aliponibariki kazi yangu ya kwanza ambapo nilifanikiwa kuhama mtaa na chuo na kuanza maisha mapya, nikiwa nimetengwa na ndugu, jamnaa na marafiki isipokuwa rafiki yangu alitenivumilia nilipoanguka!

Mtu ukiyafikiria haya yote utagundua kuwa kujitambua peke yake hakutoshi bila kuwa na ujasiri na a hand to hold you on maana it is not easy at all. Mchana utatembea kichwa juu macho miita mia kujifanya u strong but usiku hulali kwa kulia na wengine kujiingiza kwenye ulevi kama si kunusuriwa na mauti.

unapoisoma hii post ninakuomba wewe mwanamke utafakari, ujiweke kwenye nafasi ya huyu MwJ1 (wa enzi hizo). Fikiria mazingira yote yanayoukuzunguka kuanzia thamani yake (kwa jinsi unavyoidefine wewe, wazazi wako na jamii inayokuzunguka)
2. Ukikumbuka kuwa decision making at household inatawaliwa na baba, mama anawezakuumia sana juu ya maumivu yako lakini kumbuka uamuzi wa mwisho unatolewa na mzazi wako wa kiume (wangapi ambao wazazi wao wa kiume wanasymphasize nao achilia mbali wale ambao hawana wazazi wa kiume au wana wazazi ambao si wazazi wa kumzaa)
3. Fikiria nafasi ya mwanamke mwenzioa ambaye hana kazi nzuri ya kumsustain yeye na wanae kama ataamua kuondoka kimoja; na mazingira yote yanayomzunguka..wanawake wengine hawana elimu, hawajui haki zao n.k

So ninawaomba ndugu zangu kabla ya kufanya "Victim blaming' ninawaomba tuwaangalie hawa wanawake wanaokuwa abused kutoka katika mazingira halisi wanayoishi. Am telling you wanawake ambao wana ujasiri wa kusimama na kuamua 'enough is enogh' wabebe misalaba yao na majukumu ya watoto wao ni 3 kati ya kumi.
Karibuni

mhhh speechless..pole sana my dea..il b bak
 
Oooh! Hicho kisa kimenikumbusha aliyekuwa rafiki wa mama yangu, nahisi hakuna mwanamke aliyeteseka na ndoa kama yeye lakini bado aling'ang'ania pale pale.
 
MwanajamiiOne
Pole sana. Thank you for sharing your story.

The Finest
Mimi I believe the main reason that makes these women endure all this and continue being victims ni lack of support from family and/or society. Mtu unakuta anapigwa, you go to and tell your family unaanza kuambiwa ohh ndoa ni uvumilivu, followed by mifano lukuki ......................"Hebu muangalie shangazi yako alivyo happy sasa, unadhani alikuwa hivyo? Mwanzoni mumewe alikuwa mgomvi , mangumi kila siku lakin alikuja kubadilika and blah blah blah". Mimi my sister kuna siku kijiboyfriend chake kilimpiga akapata kialama mguuni, that pissed the heck outta my ma' who never liked the guy to begin with, anyways. Siku hiyo hiyo akaenda 0'bay polisi kachukuwa maaskari watatu, wakamfuata jamaa...........akamwambia, "If you ever put ur hands on my daughter again I'll spare no expense to make you a history in this town!" Na sister akaambiwa you go back to him, Im disowning you, Ikabidi waachane. But believe you me, if mama didnt take those drastic measures, Im sure jamaa ange come up with some silly excuse, and my sister would have forgiven him.
 
Mj1 pole sana na ashukuliwe Mungu uliwahi kuondoka kabla hujapata kilema cha maisha. Trust me tungekuwa na wanawake 5 ambao wanaweza kuchukua maamuzi magumu kama hayo basi leo vilio hivi tunavyovikia kila kukicha vingepungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Dah! MJ1 baada ya kusoma nimetafakari sana
 
Nemo i am glad the decision ilichukuliwa mapema lakini vinginevto huo ndio ungekuwa mwanzo wa kuwa abused na who knows what would have happened
 
Mj1 pole sana na ashukuliwe Mungu uliwahi kuondoka kabla hujapata kilema cha maisha. Trust me tungekuwa na wanawake 5 ambao wanaweza kuchukua maamuzi magumu kama hayo basi leo vilio hivi tunavyovikia kila kukicha vingepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Kbd kilema cha maisha huweki epuka....kilema si lazima kiwe physical haha (nakumbuka jinsi ambavyo kila nilivyokuwa nanyukwa jinsi nilivyokuwa nakinga reception (uso) maana umbo la kike sijajaaliwa ila uso ah nami nimo so nikawa nakinga kwa nguvu zote (ninacho kilema cha kiuno (nyonga) nloipata kwa kukinga reception lol I wish nisingekinga maana loh kwenye mambo yetu yale najikuta natakiwa kutumia nguvu za ziada hahahahahhaha ). But psychologically and all the usukule thing, the damege is so very big................... ninachomshukuru MUNGU ni ile hulka yangu ya kukubali na kusonga mbele. Mwenyewe ananishangaa halafu sina kinyongo nacheka na kuzungumza naye kama hatuna tofauti (we share a very handsome, strong adorable boy _ Mpenji wangu ) pamoja na kuwa he doesnt know mwanae anakula nini, anavaa nini, shule anaendaje au anatibiwa vipi akiumwa, sina kinyongo and I am always open aje (lakini haingii ndani kwangu) amchukue mwanae aende naye anapojisikia (ili mradi anamrudisha). Ni mwanae damu yake there is no point ya mimi kumzuia, but mimi kama MwanajamiiOne, ataendelea kunisikia na kunielewa kama mama wa his son, nothing more......na hilo analijua BUT si kwamba ni kwa ujasiri wangu au ujuzi wangu la hasha, it took me a long time (almost a year and a half) kufikia maamuzi haya na kustick to them.............ikiwa ni pamoja na kumeza machungu ya blames, kupoteza marafiki na kumeza lawama kutoka kwa watu ambao HAWAUJUI UKWELI WA MAMBO lakini wako tayari kugrab microphone na kutaka kusimulia yaliyojiri.

Najipa moyo, siku moja yatapita tu na penye ukweli uwongo hujitenga...............na ushaonekana.

Mbu, my Soulmate ninakushukuru kwa kunipenda na kunirudishia thamani ya maisha yangu hapa duniani lol. hahahahah lol leo mh..........The finest umenikamata
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom