what kind of risk have u ever take for the name of love?

COSTOMER

Member
Feb 24, 2012
70
9
binafsi nimekubali kuwa na guy ambaye najua anamsichana wake mud mrefu na nimewapa uhuru wa kuonana popote pale wanapojisikia ilimradi jamaa aniambie ukweli tu, na ninafanya hivyo huku nikiwa sina tumaini la jamaa huyo kuwa wangu wa ndoa ama lah!........ wakati mwingine huwa najiona nimelogwa lakini nimerealise kuwa nafanya kwa jina la upendo wangu kwake....litakolotokea acha litokee tu....WEWE JE?
 
mie nimewahi tembea kwenye waya wa umeme, najua hutanielewa haraka ila dah ...
Crazy, crazy.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
M mwenyewe na mke wangu tumepeana uhuru wa kuwa na wapenz pemben ila 2cwalete nyumban,2ctoke nao OUT labda tu IN n hayo tu!
 
mie nilikubali teat yake ya kuto onja utamu for a year.....that waz tough
 
Kutembea na mume wa mtu!!Mapenzi yalinifanya kipofu kabisaa sikuwa na sikia hili wala lile!!!
 
nliwai kumtolosha mke wa m2 na siku tuliobambwa akamkataa mme wake kwamba hamjui wala hajawai kufunga nae ndoa wakati wanandoa ya mtoto mmoja... mpka aliletewa vyeti vya ndoa na kanda za harusi ndo akakubali, eti alikua amexahau.!!! jamani love hizi...
 
Me niliwah kumtongoza m2 na dada yake,na wote walikua wanajua,nikawalamba wote kwa nyakat tofaut,mdogo mtu yakamshnda,akajitoa mwenyewe,ila dada ake ndo bado niko nae hadi leo.
 
Looh kuna PhD za uongo humu siamini
Unajua MadameX, kwenye uongo kuna japo % ndogo ya ukweli. Pengine haya
yanayomwagwa hapa ni uongo, lakini ndani ya nafsi zao wanatamani iwe hivyo,
tusema tu kuwa kitu kimoja ni kusema na kutamani, chengine tafauti kabisa ni utekelezaji.
 
Unajua MadameX, kwenye uongo kuna japo % ndogo ya ukweli. Pengine haya
yanayomwagwa hapa ni uongo, lakini ndani ya nafsi zao wanatamani iwe hivyo,
tusema tu kuwa kitu kimoja ni kusema na kutamani, chengine tafauti kabisa ni utekelezaji.

Wadhungu wanaita fetish...kwa speed hizi wengine mtawalala dada zenu
 
Kuna dada aliyekuwa mgonjwa sana.. Alikuwa jirani yetu.. Ingawa alikuwa amenizidi umri,niliamini,na nadhani hata leo naamini alikuwa ni binti mwenye sifa zote za uzuri kati ya akina dada niliopata kuonana nao!
Nilipenda kumtoa out kila nilipopata hela,yaani raha yangu ni kuwa naye tu! Nilimkubali sana. Unajua ile hadi kumwomba namba ya simu unaogopa. Sikuwahi kumuapproach,hata hivyo nilipenda sana kampani yake,kwani midume lazima itakata shingo! I guarantee! Ilikuwa lazima atatazamwa..

Wanaoishi Dar,hasa Kariakoo,na wanaoifahamu hoteli ya Palace(opp na Concord hotel),nilipenda sana kwenda naye pale.
Sasa siku ya Jumamosi nikiwa ofisini,nililetewa taarifa na jirani tuliokuwa nao kuwa yule dada kafariki na mazishi yanafanyika Kinondoni!
Haukuwa msiba wa mimi kukosa kwenda... Lakini alikuja girlfriend wangu(baadaye nilikuja kujaza naye watu Lutheran K'nyama),nikaahirisha kwenda mazishini,nikaenda na mpenzi wangu safari zetu!

Need I say more?!
Miaka hiyo ya 2000 mwanzoni,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom