The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
Hata tukiwa na matatizo, Nyang'au cannot be our role model. Tutajifunza kutoka success stories za SADC like RSA na Botswana etc, after all they are better than these Kenyans losers. Hawa jamaa matatizo ya ndani yamewazidi, wanatapatapa, na Tanzania ndiyo wanaona immediate solution kwa sababu kwao hakuna kitu. Kama their defense ministry budget is our budget, huku wanakuja kutafuta nini kubanana kutafuta vibarua vyetu. Sisi kama nchi, tujue our tax administration is rotten, tax base tunayo kubwa lakini kodi hazikusanywi, watu hawana IDs, business nyingi haziko registered, let alone corruption za ma tax assessors ambao wanaconspire na the would tax payers, sasa kodi itakuwa kubwa vipi na hivyo kuletea budget yetu kuwa kubwa pia. Mkuu wa taasisi mhimili wa kodi ya nchi mwenywe ni cha pombe, hata muda anao wa kufanya kazi za umma,? na si ndiyo maana mapato yanashuka kila siku siku hizi na mabao yanapigwa kwa kwenda mbele? But again, we have to work on this, hata hivyo corrupt Kenyans aren't the ones to teach us this, ni uongozi bora tu. Vasco Da Gama mwenyewe hata kukaa chini na kufikiria matatizo ya nchi muda hana, ni kukata mawingu tu. Talking about Mining, you Smatta, d u know politics that's involved in mining, hivi tungekuwa na viongozi makini sisi tungekuwa sawa na nchi nusu jangwa kama ya kwako, msiojua uzazi wa mpango mpaka solution yenu ni kutafuta ukimbizi. Nilisha ishi nje ya nchi yangu, msidhani mna venture nchi za wengine kwa vile ni wajanja, it's home pressure. If u were smart, why don't create jobs then mpaka mko 40% unemployment rate? We don't need to learn from failures! Our only curse is leadership, ila ya Kenya is even worse hence nothing to learn! Ruto ana team up Uhuru ili kulinda the latter's ill gotten wealth, do we need that lesson? Is that patriotism we need to learn?