What Is Your Strategy?

PA dear... Hapa naona umezungumzia general... BUT mie nitaongelea kwanza strategies in relation to find Love - and it finding you.... Ndio strategies ni muhimu katika kutafuta penzi ama kusubiri penzi likukute.... One has to take note kua Strategies ni nzuri kama Muongozo but isiwe ndo misingi ya One kupata a person anapenda afall in love with...

For instance you as a guy unapoweka labda strategies ya the kind of lady you would like to fall in love with... na sifa kama vile labda awe Exposed, awe amesoma, awe Mrembo, awe wa kisasa, na awe awe nyingine nyiiingi hupelekea mara nyingi usione what is right in front of you just because you are so set on the type of person who seems ideal to you.... Na huyo wa mbele wako sababu haonekani ideal basi waweza mpoteza hivi hivi... na kuishia kupata ideal ambae aweza kua Bomu....
PA kwahiyo in anothers words strategy sio kitu cha msingi sana kwa maana unaweza kuweka strategy halafu you come to realise they dont work?
 
Mkuu nina imani kwamba suala la wewe kuoa halikuja ghafla tu bin vuu lazima ulikuwa na mikakati fulani sijui kama nitakuwa nakosea

NAona unataka kwenda kule kule na mimi sitaki kwenda huko na wala siko tayari kufunguka hapa
 
Yaani nimekumiss mbaya hapa jukwaani yaani mpaka palipooza kabisa kwa kupotea kwako
Mambo dear
Mwanakil ananichanganya tuu hapa

Rocky mie pia nilikumissini jamani.... Mwanakili mbona peace saana anakuchanganya nini??
Weka strategies jinsi na namna gani ya kumpatia....lol

Npo dada ashadii
Mambo zmekuwa ming mpaka shida,vp maisha lakn?

Mungu anasadia rafiki.... kama mambo mengi ina maana kazi inaenda vizuri. Umepanga strategies lakini??
 
nyie watu sijawatia kabisa machoni...... Alafu mwanakili ulikuwepo kifunguoni tena?? Au nimechanganya madesa??
dada maisha magumu huku khaa naona nitafute mume sasa siwezi tena hili life?
 
Na unaweza kuweka malengo na mikakati yako kumbe ni bure wala haitakufikisha katika malengo wala kutimiza ndoto zako
Sometime suala la kuoa ni just mipango yako tena ya muda mfupi maana ukipania sana na kuweka mikakati mikubwa huenda usifikie ndoto
Pima ni wakati gani na ni muda gani unaweza kutimiza lengo lako wala usitegemee kuwa utajipanga kufikia lengo hilo
 
PA kwahiyo in anothers words strategy sio kitu cha msingi sana kwa maana unaweza kuweka strategy halafu you come to realise they dont work?

Hey ar' U holdin dat diary?? lol... No hujanipata PA.... Strategies ni muhimu BUT hazitakiwi ziwe absolute for it is rare that life goes the way we plan it...
 
Rocky mie pia nilikumissini jamani.... Mwanakili mbona peace saana anakuchanganya nini??
Weka strategies jinsi na namna gani ya kumpatia....lol

Mungu anasadia rafiki.... kama mambo mengi ina maana kazi inaenda vizuri. Umepanga strategies lakini??

Naona analeta mambo ya mwaka arobaini na saba bila sababu na wala hana m[pango wala maelezo ya kujitosheleza
 
Strategy = Mkakati si ndio?

Mwe ...................we The Finest una maswali!! mie hata sijakuelewa unachokitaka!
Usinifanyie hivyo banaa i believe mikakati lazima ilikuwapo ngoja nimtafute soulmate wako lazima atafunguka tu hapa lol
 
mipango ni kuchagua.
Mean lip unataka kufanya na lipi hutak kufanya.
Then ukishajua wataka kuoa then.kuna hatua za kufuata.
Kuwajuza wazazi wako.
Mwenzi wako nae awajuzf wazazi we.
Kujua kama ni ndoa ya kienyeji,kidini au kiserikal
Na mengne yatafuata
 
Usinifanyie hivyo banaa i believe mikakati lazima ilikuwapo ngoja nimtafute soulmate wako lazima atafunguka tu hapa lol

Alafu PA hii ni weekend.... MMU unatuletea topic ya kutufikirisha hivi... ndo nini mpaka mie nimemwaga juice yangu hapa.....lol
 
Na unaweza kuweka malengo na mikakati yako kumbe ni bure wala haitakufikisha katika malengo wala kutimiza ndoto zako
Sometime suala la kuoa ni just mipango yako tena ya muda mfupi maana ukipania sana na kuweka mikakati mikubwa huenda usifikie ndoto
Pima ni wakati gani na ni muda gani unaweza kutimiza lengo lako wala usitegemee kuwa utajipanga kufikia lengo hilo
Rocky ulipokuwa unataka kuoa uliweka strategies zote na zenyewe ni zipi?
 
My kid sis kama utaolewa sababu tu upunguze ugumu wa Maisha... Usije ingia mkenge (is Rocky treating you right lakini??)

Anko wangu kaoa bt hamna tofauti ya ubachela na sasa.mana mapish ni zero kwa shangaa.yani hajui.nadhan amekuwa karb il ile hudum isiwe mbal.
Bebii njoo kwangu bush men ule raha.
 
My kid sis kama utaolewa sababu tu upunguze ugumu wa Maisha... Usije ingia mkenge (is Rocky treating you right lakini??)

Bebii anatakiwa kufikia na kuwa na mipango kama kwenye she need to have someone to call husband maana kama ni kumtafuta tuu wa kumsaidia maisha mwake kupata suport ya maisha sidhani kama anahitaji ndoa ni kiasi cha kutafuta mmoja tuu wa kufanya hayo ila kama anahitaji real comittment hapo kweli atulie
 
Rocky ulipokuwa unataka kuoa uliweka strategies zote na zenyewe ni zipi?

Afu wewe mbona unalet amaswali magumu hivyo weekend yote hii bana
Watu wanataka wakapate laga wewe unaleta limtihani lako gumu kama nini
Bora nifeli bana siko tayari kujibu
 
Anko wangu kaoa bt hamna tofauti ya ubachela na sasa.mana mapish ni zero kwa shangaa.yani hajui.nadhan amekuwa karb il ile hudum isiwe mbal. Bebii njoo kwangu bush men ule raha.

Aje achukue course ya mapishi kwangu.... Mradi mkubali akae kwangu for two weekds nim-Brush!!
 
bebii anatakiwa kufikia na kuwa na mipango kama kwenye she need to have someone to call husband maana kama ni kumtafuta tuu wa kumsaidia maisha mwake kupata suport ya maisha sidhani kama anahitaji ndoa ni kiasi cha kutafuta mmoja tuu wa kufanya hayo ila kama anahitaji real comittment hapo kweli atulie
all in all yote ni lazima yaendane na kupunguza ugumu wa maisha rocky huwezi kwenda kwenye matatizo au nakosea kaka?
 
aahaa sisy rocky ni shem wangu bwana

Shemeji kwa nani?? yaani hizi siku chache ndo changes hizi?? (kulikua na strategy gani imetumika?? lol)

Bebii anatakiwa kufikia na kuwa na mipango kama kwenye she need to have someone to call husband maana kama ni kumtafuta tuu wa kumsaidia maisha mwake kupata suport ya maisha sidhani kama anahitaji ndoa ni kiasi cha kutafuta mmoja tuu wa kufanya hayo ila kama anahitaji real comittment hapo kweli atulie

Do you have one in mind?? Usimtaje PA... Maana mara Jux mara Saasa wammendea sitaki pressure kwa mdogo wangu (what happened to you?)
 
all in all yote ni lazima yaendane na kupunguza ugumu wa maisha rocky huwezi kwenda kwenye matatizo au nakosea kaka?

Mhhh Bebii never expect red carpet kila unakoenda
Kwingine unatakiwa ukachimbue visiki na kuondoa mawe ili kutengeneza njia
Na kwingine unakutana na red carpet toka siku unaingia ila huko ujue hilo red carpet linaweza kuwa black any time maana huko kuna visa na mikasa
Ni bora kutafuta njia ambako wewe na moyo wako unafurahi kwenda licha ya kwamba njia hiyo ina miiba ukafikia kutafuta pa kupita wewe mwenyewe na mwenzako kuliko kwenda kule ambako njia imetengenezwa na ukakosa amani for the rest of your life
 
Back
Top Bottom