What is wrong with this picture? Mkataba wa kusambaza umeme...

Tatizo la kwanza ni dependency, ukishakuwa tegemezi huna hata nguvu ya kupanga "unaposaidiwa" usaidiwe vipi, na kampuni gani ikusaidie.

Waingereza wanasema "beggars cannot be choosers". Inatubidi kusema "I am just happy to be here".

Tukiondoa utegemezi tutanunua tunapotaka kwa masharti tunayotaka.
 
tuna tatizo kubwa zaidi kuliko kutosimamia fedha zetu; ni kutokuwa na ujasiri wa kusema "hapana".
 
"Symbion takes a unique approach to delivering complex electrical infrastructure power solutions in regions where conflict and instability make them especially difficult..."

Jamani, haya si matusi haya...?!!
 
Jamani, haya si matusi haya...?!!

Poverty may be characterized as instability, cashflow instability to be precise. The books and ledgers conflict, the coffers are unstable. The vultures move in for the kill.
 
Kuna nukuu hii kuhusu tukio hilo la kumwaga wino kutoka kwenye gazeti la jana la Mwananchi - kweli hii ni kwa msaada wa watu wa Marekani kwa mabepari wa Marekani:

Kampuni hizo ambazo zilishinda zabuni iliyotolewa na Serikali ya Marekani, kupitia mfuko wa Changamoto za Milenia (MAC - Tanzania) ni....Kwa upande wake, Balozi Lenhardt alisema zabuni hiyo ilikuwa ya wazi na ya kimataifa ambapo kampuni mbalimbali ulimwenguni zilishiriki kuomba. "Ninayo furaha kwamba kampuni za Marekani zimeshinda zabuni na kupata kazi hii muhimu hapa Tanzania na ni matumaini kampuni hizi zenye historia nzuri, zitafanya kazi kwa ubora unaotakiwa," alisema. Naye Hinks wa kampuni ya Symbions, alisema bara la Afrika limetawaliwa na kampuni kutoka nchini China na chache kutoka Marekani. "Tunataka kubadilisha hali hii ili kampuni za Marekani ziweze kufanya kazi nyingi katika bara la Afrika, " alisema
 
....

"Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi."
 
Right on.. kwanini wasiamue kuweka uwe ni ushindani wa makampuni ya ndani tu? kwa sababu sioni sababu hasa ya kwanini uwe ni ushindani wa makampuni ya Kimataifa.
 
tatizo langu ni kuwa hiyo MCA haileti fedha Tanzania..

a. Kwa kupitia akaunti hiyo tunachapisha vitabu vya sayansi vitakavyotungwa na Watanzania lakini vitachapishwa Chuo Kikuu cha North Carolina.. kana kwamba hakuna mchapishaji Tanzania ambaye angeweza kulipwa na akaunti hiyo.

b. Leo hii kusambaza umeme kazi ambayo imekuwa ikifanywa na Tanesco kwa muda mrefu leo inapewa taasisi ya nje lengo ikiwa ni kurudisha fedha hizo hizo huko huko Marekani? Kwanini MCA isiingie mkataba wa kufanya hivyo na kampuni binafsi ya Tanzania?

c. Kampuni ya Symbion inahusika hasa na usambazaji wa umeme kwenye maeneo yenye migogoro na hali mbaya ya kisiasa. Sijui kigezo cha wao kuletwa Tanzania ni nini hasa maana wasije kuwa wanalipwa na mambo ya insurance humo humo..
Nilihisi hilo hilo Mzee..wale wajamaa waliokaa nyuma wenye vipara original na vya kutengeneza saloon ni majasusi tu. Enzi za mwalimu angeliwaangalia kwa darubini tatu tatu. Huko kusini wanameka umeme ili waione Uranium vizuri au kuna lingine? Siwaamini kabisa wamerekani. Shahidi yangu kwa hilo labda angelikuwa ni marehemu Savimbi bahati mbaya yuko udongoni futi sita chini ametangulia mbele ya haki.
 
Mwanakijiji sasa unapinga nini? Sera ya nchi ni utandawazi wa uchumi wa soko (la kimataifa)! Ndio ni biashara na uwekezaji (kutoka nje)! Sasa hutaki?
 
tuna tatizo kubwa zaidi kuliko kutosimamia fedha zetu; ni kutokuwa na ujasiri wa kusema "hapana".

The difference between the current leaders and Nyerere ndiyo huwa inaonekana hapo. By the way Julius pamoja na kuwa labelled mjamaa, mkorofi, radical na western media bado alikuwa akipata misaada mingi sensible amabayo tunaiona mpka leo. Mfano Mabwawa ya umeme.

Halafu hivi kumbe Ths billioni 97 zinaweza kufanya kazi kubwa hivyo tena na makampuni ya nje. What of EPA na kazi ikafanywa na kampuni za ndani???????
 
Mazee kazi kubwa kazi gani? Kutandika nyaya za umeme? Bila kutoa specifics wanatandika umbali gani, na watajenga nini huwezi kusema kazi kubwa. Na inawezekana vitu vikawa overpriced vile vile.

Yaani bongo ndio hatuwezi kazi hii au hatuaminiwi ? Au vyote ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom