What is ur dream for the future?

Hongera mwenzetu,na mi naomba mkimaliza shughuli yote hiyo february tuanze mchakato wa kunifanya niwe mume mdogo si inaruhusiwa siku hizi?Usihofu maana mahari na mambo ya pete nimeshajiandaa.:A S 8::A S 8::cheer2::A S-heart-2::A S-heart-2::lalala::lalala:

labda kikwenu inaruhusiwa ila kikwetu nooooooooooooooo,ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
mie natarajia kugombea jimbo la Mramba pindi atakapokula kifungo kutokana na kesi inayomkabili nimeshaanza kampeni za chini chini
 
Back
Top Bottom