What is the real definition of UPINZANI?

mubi

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
342
84
Ndugu wana JF, nimekuwa nikifuatilia sana siasa za nchi yetu hasa wakati huu wa siasa za vyama vingi. Naomba kueleweshwe definition ya Upinzani katika siasa zetu ina maana gani? na wananchi wanaelewa maana ya Upinzani katika maendeleo ya jamii?.
Naomba kuwasilisha.
 
Maana ya upinzani kwa Tanzania ni kukosoa lolote lile linalofanywa na chama tawala,halafu ukisha kosoa na wewe kama mpinzani ukikosolewa kwa jambo lolote hutakiwi kukubali kwani ukikubali tu utakuwa umekivunjia heshima chama chako.Kwa ufupi wengi tunaamini upinzani ni kuipinga serikali tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom