Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi. Uganda in moja ya majeshi bora Afrika mashariki, imekuwa ikitumia fedha nyingi sana za walipakodi kununulia vifaa vya kijeshi. (Utakumbuka wakati Mwalimu amefariki Mseveni alileta transport plane kubwa ambayo haiko JWTZ kwa ajili ya kusafirisha waombolezaji kutoka Dar kwenda Musoma). Museveni ndie amiri jeshi mkuu na mkuu wa majeshi ya Uganda. Ana vifaa vingi vya kivita. Mambo mawili yako hapa: moja, ameamua kuwaacha wananchi wa eneo la kaskazini wateseke kwa kuwa ni sehemu ya Obote, Okelo na Amini, pili anatumia sababu ya vita hiyo kuendelea kufanya manunuzi makubwa ya vifaa vya kijeshi na ujue kuwa pale ndio wanapata pesa za uhakika. hazina ukaguzi. hebu angalia mlolongo wa vifaa kama nivyouchuka "wikipedia". Angetaka angemshinda tu.sio kama ameshindwa ndugu yangu, huyo jamaa yupo hapo kwa maslahi ya wakubwa wachache. inasikitisha sana
Aircraft | Origin | Type | Versions | In service | Notes |
---|---|---|---|---|---|
Mikoyan-Gurevich MiG-23 Flogger |
| Multi role fighter | status unknown | ||
Sukhoi Su-30MK2 | Multi role fighter | 6 | Delivered July 2011 for $740 million (Shs1.8 trillion)[SUP][17][/SUP] | ||
Mikoyan-Gurevich MiG-21 Fishbed | Multi role fighter | 6 | 6 MiG-21 Bis\U Delivered. Upgraded by IAI (MIG-21-2000) | ||
Aero L-39 Albatros | Light attack/ trainer | 4 | |||
Aermacchi SF-260 | Light attack-trainer | 2 | delivered | ||
Mil Mi-24 Hind | heavy attack helicopter | 1 | with five further 'Hinds' unserviceable of a total of 12 Mi-24 delivered | ||
Agusta-Bell AB-206 JetRanger | Utility helicopter | ? | status unknown of a total of 10 delivered | ||
AB.212 | Light transport helicopter | 8 | A total of 10 delivered. | ||
FFA AS-202 Bravo | basic trainer | 2 | status unknown | ||
Bell 412 | Light helicopter | ? | status unknown. A total of 9 delivered. | ||
Gulfstream G550 | VIP Transport | 1 | |||
Mil-17 Hip-H | Medium transport helicopter | 7 | status unknown. A total of 5 Mil Mi-8 and 8 Mil Mi-17 delivered. | ||
Agusta A-109 | utility helicopter | 2 | status unknown | ||
Lockheed Martin C-130-20 Hercules | Transport aircraft | 1 | status unknown |
Huwa anakimbilia misitu ya nchi jirani A ya Kati na kwinginekoKwani kwa sasa kony kajificha wapi?
Uganda au Drc?
Hawa jamaa wanadai nini hasa?
Maana wanawatumia watoto wavulana kama wanajeshi..
Watoto wasichana kama sex machines zao?
wanakata watu mikono, pua na kuchoma moto nyumba..
Hawa ni aibu kwa east africa..
Viral video focuses debate on Uganda rebels - Africa - Al Jazeera English
huyo KONY ni nani,nimeona status facebook na video sema internet yangu mbaya,sijaweza kufuatilia,....mtu anisamarizie please,anajihusisha na nn? ni terrorist au?
Hayo mafuta na rasilimali sio zetu...Wenyewe ndio hao wanaondesha war on terror na kueneza domokrasi.So what will happen is that, the U.S will help Uganda to stop Kony then they will repay themselves with the oil extracts in N. Uganda as they did in Iraq and Libya!
I heard Tanzania has also found potential oil extracts somewhere in the south. I hope it doesn't lead us to this kind of state.
Louis Moreno Ocampo said the social media campaign by Invisible Children had "mobilised the world".
Huyu Ocampo na ICC itawamaliza wanaokataa kuburuzwa.
BBC News - Invisible Children's Kony campaign gets support of ICC prosecutor
Gotta be they sauce dawg! Check this out...
Imma Boss Parody - Eat Millz ft. Ricky Sauce @mrgrind - YouTube
That is a Nato campaign