What is the most attractive Feature of your partner

Acha kumtapeli mtoto wa wenyewe. Kwani wallet si unaweka kwenye kalio wewe? lara 1, kina hela hichi kizee, changamka.
Duh, lara 1, kumbe nisingeweza kukupata....!

man-with-empty-pockets.jpg
 
Last edited by a moderator:
Shangaa wewe shem, wakati hiyo 2008 wenzie tushapigika kitaa karibia tunaomba poo! Afu anamuambia Mtambuzi, baba mkwe wa mtu!
Humu ndani watoto siku hiz wamejaa sana! Hapo kaandika 2008 anajiona mkuubwa!!

Ondoa hiyo 'pia'. Hata kama hana naniliu kabisa ama ikiwa nusu ya kibamia, intelligence is the turn on for me aisee. I cant stand a dumb partner! And this once, im telling the truth, the whole truth and nothing but the truth.
unatekwa na 'brain' ya mtu pia??
I thought i am du.mb for a minute.
 
Last edited by a moderator:
Eyes za rejao? Ama mateka?
Hivi unajua ukimpenda mtu unaona kila kitu chake kizuri? Nna ndugu yangu mkewe anajichubua, miguu myeusiii, uso kama taa! Mbele ya mkewe anaponda mdada anaejichubua. Huwa najishangalia kwenye glass kamguno kasisike. Ukipenda aisee, chongo inakuwa kengeza.
Source: baby wassira
your eyes, ooohh gosh!
Nikiyaona napoteza maneno.
 
ulishakutana na mtu ana mihela afu brainless??

Kama mko out unaweza mkimbia
huwa wanapenda onekana but kila analoongea linakuwa aggggrrrrrr

true, brain ni turn on ya nguvu sana, mengine ni nyongeza.

Ondoa hiyo 'pia'. Hata kama hana naniliu kabisa ama ikiwa nusu ya kibamia, intelligence is the turn on for me aisee. I cant stand a dumb partner! And this once, im telling the truth, the whole truth and nothing but the truth.
 
Eyes za rejao? Ama mateka?
Hivi unajua ukimpenda mtu unaona kila kitu chake kizuri? Nna ndugu yangu mkewe anajichubua, miguu myeusiii, uso kama taa! Mbele ya mkewe anaponda mdada anaejichubua. Huwa najishangalia kwenye glass kamguno kasisike. Ukipenda aisee, chongo inakuwa kengeza.
Source: baby wassira
Hahahaha...huyo ndugu yako siyo kwamba anampiga madongo mkewe indirectly??

Halafu shem unaniharibia sasa...mwenzio Kongosho keshapenda macho, kafa kaoza..haambiliki!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hapa nimeongelea eyes za rejao

ila za mateka ni zaidi aisee, more sexy.
Afu nitakutafuta unipeleke kwa mganga, hashikiki siku hizi, iwe siri yako lakini.

Eyes za rejao? Ama mateka?
Hivi unajua ukimpenda mtu unaona kila kitu chake kizuri? Nna ndugu yangu mkewe anajichubua, miguu myeusiii, uso kama taa! Mbele ya mkewe anaponda mdada anaejichubua. Huwa najishangalia kwenye glass kamguno kasisike. Ukipenda aisee, chongo inakuwa kengeza.
Source: baby wassira
 
tena anataka kukuharbia haswaaa
hajuikilichonivuta kwako ni macho ya kimahaba hayo.

He he he, ni sawa na mie mtu aanze ponda wenye vinyweleo miguuni kama vya Joti mbele yangu, si nitalia.

Hahahaha...huyo ndugu yako siyo kwamba anampiga madongo mkewe indirectly??

Halafu shem unaniharibia sasa...mwenzio Kongosho keshapenda macho, kafa kaoza..haambiliki!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom