What is the meaning of PMTC1?

nimesikitishwa na watu watu wanaotoa hiz maada za code jaman kama kuna mtaalamu azingatie maadili ya taaluma yake hata hao google hawachambui yote.hiz taaluma zina siri jaman kuwen watii.na taaluma ya afya.wengine waishie kujua panadol tu sio yote.
Kuna baadhi ya vitu siyo siri tena ndio maana hata wizara ya afya wanaweka kwenye mtandao wao wa pmtct...just google utaona hayo makitu yote. Ni namna ya kusaidiana tu na kuwafanya watu wakapime.
 
Hii mada ilishatutoa nduki mida fulani...kumbe bado inatiririka tu?...Duh, mambo magumu kumeza lakini. Ni bora upitie hapa ukishakuwa umetokea Angaza tayari vinginevyo ni hataree tupu...
 
Hivi kama mtu ameungua
kuna haja ya kuficha na kumwandikia kwenye kadi pekee bila kumwambia
ukweli ilihali anajua kuwa an tatizo? unakuta unaandikiwa hiyo 1 au 2
halafu unaambiwa huna tatizo hiyo imekaaje?

jamani hawamfichi waliempima lazima upewe majibu nandiomaana yakupima mjamzito ila wanajaza kitaalamu na huyo alipimwa ameshapewa majibu, very sad kaka ila ulikua unajielewa ndio maana hukuongozana namkeo clinic kikubwa huyo mtoto msimuambukize
 
Yaah! tatizo wanaume wengi huwa hatuna kawaida ya kwenda clinic mke anpokuwa mjamzito hivyo wengi husubiri mke ataambiwaje huko. sasa wanawake wengine wakirudi wanakuwa kimya sasa inabaki ni kwa mwanaume kuhangaika kujua kaambiwaje mkewe!
 
Yaah! tatizo wanaume wengi huwa hatuna kawaida ya kwenda clinic mke anpokuwa mjamzito hivyo wengi husubiri mke ataambiwaje huko. sasa wanawake wengine wakirudi wanakuwa kimya sasa inabaki ni kwa mwanaume kuhangaika kujua kaambiwaje mkewe![/QUOTE
Mh hii kitu inachanganya sana. My sister aliandikiwa pmct 2. Nilipomwuliza means negative.
 
Mpe hongera zake maana duni ya siku hizi ni vurugu tupu! aendelee kujilinda aisee. hali ni mbaya na mbaya zaidi inapomfuata mpaka mtoto! Mungu atuhurumie tu jameni!
 
Yaah! tatizo wanaume wengi huwa hatuna kawaida ya kwenda clinic mke anpokuwa mjamzito hivyo wengi husubiri mke ataambiwaje huko. sasa wanawake wengine wakirudi wanakuwa kimya sasa inabaki ni kwa mwanaume kuhangaika kujua kaambiwaje mkewe![/QUOTE
Mh hii kitu inachanganya sana. My sister aliandikiwa pmct 2. Nilipomwuliza means negative.
Kwaa maana hiyo, 2 ni negative...ova! sasa nina amani moyoni maana siku wangu akiandikiwa hivyo ntakuwa nshajua!
 
I'd advice you to seek proper explanation from the Doctor who attended your wife otherwise you are exposing raw medical results without permission of your wife/Doctor which is personal and private matter frankly.No one in this forum is allowed to interpret flesh data coming out of the hospital in public even if he has knowledge of the matter, Its a crime according to medical ethics,you and the collaborator stand a big chance of being sued by the former or even the hospital administration that have been entrusted to take care of patients and the information they collect off them during the course of their duty.So be careful big boy!.
 
Thanks pal

kuna watu hapa sijui wanatumia masaburi kufikiri, au ni watoto wanaodhani they know alot

it is really sad
Du hivi masaburi maana yake ni nini hasa?, mimi nilidhani kuwa ni jina la mtu.
 
I'd advice you to seek proper explanation from the Doctor who attended your wife otherwise you are exposing raw medical results without permission of your wife/Doctor which is personal and private matter frankly.No one in this forum is allowed to interpret flesh data coming out of the hospital in public even if he has knowledge of the matter, Its a crime according to medical ethics,you and the collaborator stand a big chance of being sued by the former or even the hospital administration that have been entrusted to take care of patients and the information they collect off them during the course of their duty.So be careful big boy!.

You are right Sir.

This is very unethical!!
 
Wewe mpuuzi,umeadhirika halafu unataka kushare,medical issue ni private,mkeo alikuambia ulete majibu yake huku?wewe ni jitu la wapi hovyo hivi?unatoka pori gani?
 
Usiogope PMTCT1 ni kwamba hana maambukizo lakin kama ingekuwa PMTCT2 hapo ndo inaonyesha kuna kitu cha pili yaani ameungua
kwako wewe inaonyesha tu hujiamin na ningekushauri ukapime mana si busara kufanya kama baadhi ya watu wanavyofanya eti mke akipima clinic negative basi na yy atakuwa negativ, si kweli kapime
vise vesor!
 
Back
Top Bottom