What Is The Importance Of Upgrading A Firmware?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
napenda kufaham umuhimu wa ku upgrade firmware ya simu, nini custom firmware inafanya na jinsi ya kufanya upgrading. natumia samsung ch@t222
 
napenda kufaham umuhimu wa ku upgrade firmware ya simu, nini custom firmware inafanya na jinsi ya kufanya upgrading. natumia samsung ch@t222

Pamoja na mambo mengine firmware inapotolewa mpya, kuna vitu kama kurekebisha mapungufu,hii inapotokea pia apps zinakuwa upgraded.kama ukiamua kubaki na firmware yako utashindwa kutumia some apps ambazo zinakuwa compatible na the newer firmware.
 
Back
Top Bottom