What is Oracle- RAC and Oracle-Apps

Einstein

Senior Member
Dec 5, 2009
121
26
Habari ndugu wana-JF?

Naomba mwenye kufahamu vizuri anieleweshe ni nini maana ya Oracle RAC.. Na Oracle-Apps ni kitu gani hasa.. Nataka kuchagua kati ya hizo niisome vizuri.. Au naweza zisoma zote, but it depends na umhimu wake..

Shukrani...
 
mkuu nakushauri ingia google chimba kisawa sawa....nashindwa kukulezea kwa lugha rahisi what is ORACLE RAC by the way....soma link hio arifu...
What is Oracle RAC? - dBforums
 
Swali lako linaonyesha wewe ni intermediate au advanced user. So huitaji kutafuniwa. Inaonekana unajua tayari something about Oracle na database.. Kama hujui basi anza anza kuchimba chimba kuhusu kwanza Database na specifically Orcale.

Kama unajua basi chimba chimba mtadano Kuhusu Cluster . Hiyo link hapo ni cluster katik level ya OS so kwa hara haraka utaona Oracle RAC ni implimetation ya cluster katika level ya DBMS. Unaweza kuwa na cluster katika hata level ya hardware . Haya yote ni katika kuhakkiiisha system( in this case database system) zinakuwa na realiability, availabiity na security ya kiwango cha juu

Unaweza kuona mfaano halisi wa cluster kwenye database kwenye tovuti kama yahoo.com (USA) , yahoo.co.uk (uK) Yahoo.co.za . So hata kama uko kwenye web page ya yahoo ya south africa login za yahoo ni ile ile popote ulipo sababu database server zao ziko clutsered uwe norway au canada au uk.

soma kwa undani zaii overiview of Oracle RAC . Una weza kugoogle nondo za Distributed system upate general knowledge kabla ya kuingia deeper kwenye technicalities za mambo ya clustering

haovw002.gif

Hiyo Oracle Apps nadhani unaweza kupata jibu

Good luck
 
Swali lakolinaonyesha wewe ni intermediate au advanced user. So huitaji kutafuniwa. Inaonekana unajua tayaro something about Oracle na database.. Kama hujui basi anza anza uchimba chimba kuhusu kwanza Database na specifically Orcale.

Kama unajua basi chimba chimba mtadano Kuhusu Custer . Hiyo link hapo ni cluster katik level ya OS so kwa hara haraka utaona Oracle RAC ni implimetation ya cluster katika level ya DBMS. Unaweza kuwa na cluster katika hata level ya hardware . Haya yote ni katika kuhakkiiisha ystem( in this case database system) zinakuwa na realiability, availabiity na security yakiwango cha juu

Unaweza kuona mfaano halisi wa cluster kwenye database kwenye tovuti kama yahoo.com (USA) , yahoo.co.uk (uK) Yahoo.co.za . So hata kama uko kwenye web page ya yahoo ya south africa login za yahoo ni ile ile popote ulipo sababu database server zao ziko clutsered uwe norway au canada au uk.

soma kwa undani zaii overiview of Oracle RAC . Una weza kugoogle nondo za Distributed system upate general knowledge kabla ya kuingia deeper kwenye technicalities za mambo ya clustering

haovw002.gif

Hiyo Oracle Apps nadhani unaweza kupata jibu

Good luck

Nimekusoma mkuu.. Shukrani sana.. Tutawasiliana zaidi for more inputs.. I am really interested in these stuffs..
 
Back
Top Bottom