Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,171
- 3,893
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini kuwa physical toughness inachukua nafasi kubwa kumfanya individual kuonekana imara.Lakini mfululizo wa mambo mbalimbali yanayotokea yananithibitishia wazi kuwa physical strength peke yake bado haitoshi...katika mazungumzo yangu na jamaa mmoja hivi karibuni alinidokeza hii dhana ya ukosefu wa mental strength as a big factor for failures in most of the circumstances.
Najua kama nataka kuwa physically fit ntatumia muda fulani kufanya mazoezi yatakayonowezesha kuwa hivyo.
Ningependa kuwauliza wenzangu, ili kupanua uelewa wangu, hivi what is mental strength nini? Je na mazoezi au mambo ya aina gani yatanisaidia kuweza kuongeza strength hiyo ili nijenge uwezo wa kufanya vizuri katika maisha?