What is love

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Natafuta msichana wa kunifundisha maana ya kupenda. Angalizo-ni kwa wasichana peke yake.
 
unataka topic gani?

wewe ni msichana? Je unajua kwamba love has got no meaning until you find someone to define it..xo nahitaji msichana wa kunionyesha nn maana ya kupenda
 
To help you find the right candidate ungejibu hizi swali:
  1. Kufundishia online au live?
  2. Kwa nini asiwe a mature woman who has been there, done that?
  3. Kwa nini usitafute mwanaume wa kukuelimisha kwa maneno, mwanamke atakwambia what women want, not what men should do about it (kuna gap kubwa hapo)
  4. What is your level of knowledge hadi sasa? etc
 
word..!
 
kozi unayohitaj unataka iwe ya mda gn.hlf mbona hakuna qualifications za mkufunzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom