Elections 2010 What is in My Mind... Let All Tanzanians allow Peace to Prevail

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Ndugu zanguni habari.

Ikiwa zimebaki siku nne watanzania tuchague viongozi wetu watakatuongoza kwa miaka mingine mitano nimekuwa kwenye dilema. Nina imani kabisa kuwa upinzani wakipewa nafasi watafanya vizuri hilo sina shaka nalo ......lakini pia nina imani kuwa CCM ikipewa nafasi nyingine kuna uwezekano kabisa wa mgombea wake ndugu J.K kubadilika na kuwa mchapa kazi mzuri kwa sababu
1. Nina imani kabisa kuwa katika kipindi hiki cha kampeni ameweza kupata picha halisi ya utendaji mbovu wa watendaji wake na kwa hali halisi ninavyomwona ni kuwa atakuwa ameshtushwa sana na reactions ambazo amekuwa akizipata kwani Watanzania wamemwonyesha live bila chenga kuwa uongozi wake ni mbovu na hawana imani nao.

2. Nina imani kama atashinda basi tutegemee mabadiliko makubwa sana katika userious wakke katika suala zima la uongozi wa Tanzania kwa sababu kuu mbili
1. Angependa kuhakikisha utendaji bora wa watumishi wakke ili kuprove kuwa yeye kama yeye anauweza uongozi,
2, Angependa kuirudisha imani ya watanzania juu ya chama tawala cha CCM ambacho kimekuwa madarakani tangu tupate uhuru, Kama binadamu sidhani kama atarest in peace iwapi CCM itafia mikononi mwake. So atachange la sivyo atakuwa na matatizo yasiyotibika.

Hivyo basi katika kuelekea uchaguzi ninawaomba watanzania wenzangu tujitahidi kuilinda amani yetu ambayo tumekuwa tukisifiwa na kujitapa nayo dinia nzima kwa kuamini kuwa yeyote atakayeshinda atajaribu kuwa kiongozi mzuri ili kuprove wrong wrong.

Tuungane kuidumisha amani yetu na mshikamano.
MUNGU Ibariki TANZANIA.
I advocate for a peaceful election and Acquisation of Power.
 
Hata mimi naomba uwe uchaguzi wa amani lakini nayataka sana mabadiliko maana thithiem na Kikwete uongozi wa nchi umewashinda kabisa hivyo hawastahili kupewa miaka mingine mitano.
 
uchaguzi wa mani ni muhimu na kuing'oa thithiem madarakani ni muhimu
 
Hata mimi naomba uwe uchaguzi wa amani lakini nayataka sana mabadiliko maana thithiem na Kikwete uongozi wa nchi umewashinda kabisa hivyo hawastahili kupewa miaka mingine mitano.

Haswaaa King they have let us down for many years..........unless proven otherwise. Tunataka mabadiliko ya kweli si ya kutudanganya watanzania kama watoto wadogo wale wa kupewa pipi zenye maganda na kuambiwa ndizyo zinavyotakiwa kuliwa!
 
uchaguzi wa mani ni muhimu na kuing'oa thithiem madarakani ni muhimu

golder nakubaliana na hoja yako cha maana ni kupata mabadiliko kwa kuwa na serikali itakayokuwa serious.........whether its upinzani au thithiem but ninachoamini (na sijui kwa nini moyo wangu unaamini hv) ni kuwa thithiem hawatakuwa tayari kuprove failure so wataJITAHIDI washinde. With that sihitaji kubisha kwani ninaamini kabisa sie tumekamata kwenye makali........ whatever the case kama wataprove ushindi wao all we need is a completely changed system........... hata ikibidi kuipeleka Tanzania nzima kwenye M&E training all we need is long desired RESULTS/ OUTPUTS-OUTCOMES and IMPACT and no more bla blah
 
Haswaaa King they have let us down for many years..........unless proven otherwise. Tunataka mabadiliko ya kweli si ya kutudanganya watanzania kama watoto wadogo wale wa kupewa pipi zenye maganda na kuambiwa ndizyo zinavyotakiwa kuliwa!

Ther'z nA tym to prove otherwise, they had their chance n they did nothn,
yaan th way navyotaka hawa watu waachie madaraka, I wsh ningekuwa na kura ya VETO niwaVote out hiyo 31st..((
 
Ndugu zanguni habari.

2. Nina imani kama atashinda basi tutegemee mabadiliko makubwa sana katika userious wakke katika suala zima la uongozi wa Tanzania kwa sababu kuu mbili
1. Angependa kuhakikisha utendaji bora wa watumishi wakke ili kuprove kuwa yeye kama yeye anauweza uongozi,
2, Angependa kuirudisha imani ya watanzania juu ya chama tawala cha CCM ambacho kimekuwa madarakani tangu tupate uhuru, Kama binadamu sidhani kama atarest in peace iwapi CCM itafia mikononi mwake. So atachange la sivyo atakuwa na matatizo yasiyotibika.
.
Ndugu yangu usitegemee jipya toka kwa jk, tena futa ilo wazo kabisa. mbaka sasa helkopta tu anazotembelea ni za somaiya je unategemea anaweza kumgeuka fisadi huyu? je unahisi ana ubavu wa kutosha kumfunga rostam? kula yako we mpe silaha ambaye ulishuhudia utendaji wake toka akiwa mbunge
 
Haswaaa King they have let us down for many years..........unless proven otherwise. Tunataka mabadiliko ya kweli si ya kutudanganya watanzania kama watoto wadogo wale wa kupewa pipi zenye maganda na kuambiwa ndizyo zinavyotakiwa kuliwa!

Yes Mwanajamii1, there is no need to wait for another five years, it is time for mafisadi to go.:peace:
 
Back
Top Bottom