..what is better..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Wanandoa wanaowekana wazi vipato vyao na kupangia VS Wanandoa ambao wanafichana vipato vyao halisi.
..
NB: This includes marupurupu na pesa yoyote inayopatikana nje ya mshahara.
 
uweke mapato yote mezani, small hausi umeintain vipi?

Unanistaajabisha, au wewe bado lena?
 
Secret account muhimu sana chief asikuambie mtu, ili mradi tuu usigundulike.
 
Nazikubali sana semi hizi. 'He who lives by the sword shall die by the sword'-'what goes arround comes arround'. Nachotahadharisha ni kwamba, Hakuna raha yoyote kufichaficha vitu vya hii dunia. Weka mambo on ze tebo tuende sawa
 
Muhimu kuwa na balance isiyofahamika home, unaweka hela zote hadharani mnapangia bajeti inatokea dharura, huyo huyo mliyepanga naye bajeti anakutolea macho anataka uwajibike lalamika ukata uone heshima inavyoporomoka!
Kwa maisha ya kibantu heshima ya mwanaume ni pochi ndo maana hata ukipewa fedha sawa kwa wakati mmoja na mwanamke yeye bado atataka umnunulie lunch/soda n.k, sasa kama unaweka mambo hadharani hizi ofa utazitoa kwa bajeti gani? na huwezi kukwepa mizinga ya hawa wa2.
 
niweke hadharani ili iweje....we baki na zako na mimi nibaki na zangu.....mahitaji na matatizo ya famii tutatue pamoja.....
 
niweke hadharani ili iweje....we baki na zako na mimi nibaki na zangu.....mahitaji na matatizo ya famii tutatue pamoja.....
Haswa! Niliwahi kusikia kuwa ndoa ni shughuli ikivunjika kila mmoja anarudi kwao.
 
niweke hadharani ili iweje....we baki na zako na mimi nibaki na zangu.....mahitaji na matatizo ya famii tutatue pamoja.....
.
Mbona unakua mkali wewe mchumba wa PACCO aka PRETA. Si mmeungana na kuwa mwili 1? Kwa nini msiambiene vipato vyenu..
 
Ni vyema kuweka mambo ya kipato wazi kati ya wanandoa

Hii Huonda mashaka mengi kati ya Wanandoa
 
NI hivi..

we una account yako.
mi na account yangu .

Halafu tuna account ya pamoja ambayo ndo fedha za
matumizi na mambo megine . kwenye hiyo account .

NA wote tunaweka kiasi fulani kwenye hiyo account kila wiki.

mambo ya kufuatiana mishahara hiyo ni NO, NO.
 
Back
Top Bottom