What If.....

Revolution

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
791
551
Nilikuwa nawaza hivi itakuwaje babu(loliondo) akisema ameoteshwa tena kwamba watu wote waliokula dawa watakufa mwisho wa mwaka huu? Ingekuwa patashika...mpaka mjengo mweupe au?.......
 
Imeandikwa " sitakufa bali nitaishi, nami niyasimulie matendo makuu ya Mungu"
 
Nilikuwa nawaza hivi itakuwaje babu(loliondo) akisema ameoteshwa tena kwamba watu wote waliokula dawa watakufa mwisho wa mwaka huu? Ingekuwa patashika...mpaka mjengo mweupe au?.......

i will advice you to recycle your thoughts
 
Nilikuwa nawaza hivi itakuwaje babu(loliondo) akisema ameoteshwa tena kwamba watu wote waliokula dawa watakufa mwisho wa mwaka huu? Ingekuwa patashika...mpaka mjengo mweupe au?.......

Kaka peleka hii kwenye jukwaa la jokes teh teh teh
 
Back
Top Bottom