What if spermatozoa not seen three timez

hajjat

Member
Mar 7, 2012
16
3
Habari za asbh DR.mimi ni Mrs,ni mwaka wa nne sina mtoto na tumejaribu kwenda hsp mbalilmbali na majibu tuliyopewa ni kwamba: mimi nipo sawa kabisa ila mwenzangu no Spermatozoa seen ila checkup zengine yupo sawa,Dr Tunaweza kupata watoto? Tusaidie tafadhali.........Aksante sana
 
Mtoto = spermatozoa + ready ova, sasa kama hana ina maana ninyi wawili hamtaweza kuunda mtoto. Ila wewe ukitaka unaweza, bila yeye!
 
Du poleni hakuna jinsi,cha msingi chukueni mbegu za mtu mwingine na mpandikize kama jamaa yako hatamaind mtafuteni mtu mwingine akupe dushelele live.
 
habari za asbh dr.mimi ni mrs,ni mwaka wa nne sina mtoto na tumejaribu kwenda hsp mbalilmbali na majibu tuliyopewa ni kwamba: Mimi nipo sawa kabisa ila mwenzangu no spermatozoa seen ila checkup zengine yupo sawa,dr tunaweza kupata watoto? tusaidie tafadhali.........aksante sana

hapo nilipo bold ndio naomba nipajibie...mnaweza kupata watoto ila baada ya tatizo la mzee la spermatozoa kushughulikiwa ki-taalamu...ushauri ni kuwa waoneni wataalamu juu ya hilo...na mumuweke mwenyezi mungu mbele ya hili....innallah mas-waabirinah
 
Habari za asbh DR.mimi ni Mrs,ni mwaka wa nne sina mtoto na tumejaribu kwenda hsp mbalilmbali na majibu tuliyopewa ni kwamba: mimi nipo sawa kabisa ila mwenzangu no Spermatozoa seen ila checkup zengine yupo sawa,Dr Tunaweza kupata watoto? Tusaidie tafadhali.........Aksante sana

Kwa kifupi kujibu swali lako.... ndio mnaweza kwa kutumia high medical technology "Invitro Fertilization" kwa kuextract sperm direct from the testicles; if there is an obstruction.
 
Kwa hapa tanzania, hii huduma inapatikana?
Gharama yake ni kiasi gani? Na inapatikana wapi mdau?
 
hapo nilipo bold ndio naomba nipajibie...mnaweza kupata watoto ila baada ya tatizo la mzee la spermatozoa kushughulikiwa ki-taalamu...ushauri ni kuwa waoneni wataalamu juu ya hilo...na mumuweke mwenyezi mungu mbele ya hili....innallah mas-waabirinah
Thanks much,ila utanisaidia zaidi kama kutakua na dr unamfahamu whereva ntafurah zaidi
 
InVitro-Fertilization Clinic/Lab...NADHANI NIMEIONA MOJA IPO PALE OPPOSITE NA CLOUDS RADIO STATION BUILDING ALONG ILE NJIA YA KUPITIA COCA COLA...KUNA KIJI-SIGNBOARD KIDOGO KIMEANDIKWA IVF LAB/CLINIC JARIBU KUPITA NA KUULIZIA PALE...ILA NAJUA NAIROBI ZIPO...ILA NI GHALI..CAN GO UPO TO 30,000 USD.
 
Thanx kaka i will in dar by next wk ntaenda na mr,Allah akubariki
 
nairobi ipo ndugu but hii kitu inakula hela coz mara nyingi inabidi ujaribu more thn once...india is also a good place to try
 
Back
Top Bottom