What I can do!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Mimi naweza kufanya hivi... What about you?
 

Attachments

  • Facedance.zip
    742.6 KB · Views: 133
kaka najaribu kuangalia n nn unachoweza kufanya lkn nashindwa, nafikiri hii PC au net ya hapa nilipo ni kimeo
 
du, leo nimeiona kaka, nipo kwa wala pilipili mkuu, huyu jamaa ni noma and i dont think hii yawezekana kwa mazingira ya kawaida, lookm at that nose, hahaha
 
Mimi naweza kufanya hivi... What about you?

Mkuu hata ukiweza kufanya ni useless kwetu, hatutsona vimbwanga vya sura yako...you are invisible, aren't you?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom