What Happens When We Die?

Kanuni ya Relativity iko very simple E=MC2. Sheria hii ni lazima itiiwe. Lakini pia sheria nyingine za fizikia kama "the law of conservation of energy" ambayo ni msingi pia wa General Theory of Relativity zinaelezea vizuri tu nini kinatokea baada ya kifo. Now, kama swali ni what happens to the body jibu ni rahisi, mwili hukosa uhai, huaribika na baadaye kuoza. Kwa wale waaminio dini wanasema unarudi "mavumbini". Kama swali ni what happen after we die, the answer remains in the theory of general relativity.

Mkuu,

Swali linakuja hivi..Is the issue of death a spiritual notion or a scientific notion?
 
Back
Top Bottom