What happened to kenyan music jamani?

Kenyan girl ,Kenyan boy

Napenda sana ile verse Naziz anatoa dedication kwa watu tofauti ,
Konda wa ma3 ........
Dereva wa ma3... No 9 ongeza mahewa men, no 3, no 26, guruu punguza mahewa men.......
Ma3 zote sijataja ila tuko pamoja kama my my my best friends
 
Hahahah...

Nlikua naielewa sana hii kumbe umeshaishare okay mkali mwingine alikua wyre sijui kapotelea wapi
wyre mbona yupo mkuu, namkubali sana yule mshkaji ila naona kama yupo underrated hv
 
Damnn Kenya walikua na beat kali sana Josh and Amos from Kenya hawa jamaa noma pia

walitokea kwenye Tusker project na kuna nyimbo wamefanya na saut sol
Hawa hawajapata management nzuri kuna nyimbo zao

1.Baadae wamemshirikisha Rabbit
2.Promised Land wameshirilishwa na Rabbit
 
Hawa hawajapata management nzuri kuna nyimbo zao

1.Baadae wamemshirikisha Rabbit
2.Promised Land wameshirilishwa na Rabbit

Amos na Josh wana fans wengi sana

Kweli tatizo litakua ni hiyo managment
 
E-Sir alikuwa ni mmoja ya wasanii wa kwanza wa Kenya na alikuwa fluent kwenye Kiswahili tofauti na wasanii wengi wa mwanzo,alikuwa mshikaji wa Nameless
Ndio aliye wafungua rapa wengi wa kenya kwa kufanya commercial rap
 
Amos na Josh wana fans wengi sana

Kweli tatizo litakua ni hiyo managment
Kenya kuna tatizo sana la management ya wasanii na kibaya zaidi wasanii wao wengi wamepiga shule (wengi wana degree) so music hawaupi priority

1.Camp Mulla hawa bila shule hawa wangekuja kuwa kundi kubwa sana Africa hata Sauti Sol wasingewafikia

2.Amos na Josh ,hawa walipata fans wengi kwenye Tusker Project Fame na kweli wana kipaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom