What goes around, comes around. Pole Prof.Ndalichako

Lipumba kweli Mungu kasikia kilio chake watu walikuwa wanamshangaa ni msomi Wa Namna gani haya sasa amepata wasomi wenzake wengine watatu makame ndalichako Na maige hao ndio wasomi wetu kwa hiyo usishangae ata kidogo


Kumbe wako wengi na wote watoka lile chama chakavu.
 
Ma DR na ma Pro. wa Tanzania wanatia aibu sana kujidhalilisha sababu tu ya siasa/njaa. Ni aibu kubwa sana
 
Back
Top Bottom