What does ID and Avatar say about someone?

mkuu umenikumbusha mbali kuna siku mtu mmoja alifananisha identity na barbara hassan ,..... ulivyokuja juu!!! teh teh hatasahau i guess..... ila kiukweli kidogo ufanane na kipanya
Hahhaaaaa Malaika unayetabasamu umeniacha hoi eti nilikuja juu....hamna bana nilirukaruka ujue!

Umeshindwa kubashiri bana, jaribu tena, ukibidi nikupe ka hint kaduuchu...
 
mie nakubali mcharuko sana
kuanzia shingoni kuja kichwa cha kichwani

huko kwingine, am a saint

sasa wewe ni vice verse wa mimi
saint kuanzia shingoni kuja kichwa cha kichwani
kulikobaki full mcharuko

mpaka hapa nshajua wewe ni mcharuko
 
Ok napita naona wenye pic ze2 ha2husiki hapa!My Avatar najiona ni handsome boy na nimpole,Mx
 
Hahhaaaaa Malaika unayetabasamu umeniacha hoi eti nilikuja juu....hamna bana nilirukaruka ujue!

Umeshindwa kubashiri bana, jaribu tena, ukibidi nikupe ka hint kaduuchu...

ah hah hah enewei unajaribu kukaribiana pia na Evansi Bukuku
 
mie nakubali mcharuko sana
kuanzia shingoni kuja kichwa cha kichwani

huko kwingine, am a saint

sasa wewe ni vice verse wa mimi
saint kuanzia shingoni kuja kichwa cha kichwani
kulikobaki full mcharuko

tafadhali nidadafulie hapa vizuri... sijakupata kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna wakati unapenda ukimya wako ili ufikiri au to clear your mind.

lakini ukimya huu sio lazima ujifungie, something like 'staring outside'

kusema ukweli naisubiri kwa hamu siku utakayobadili avatar yako!!
 
Back
Top Bottom