What does ID and Avatar say about someone?

ID yangu Mzizi Mkavu kama ujuavyo Mzizi mkavu hauchimbwi dawa. Na avatar yangu ni ya Madawa (Herbalist) haya tena sjuwi wingine ID zao na Avatar zao zinaashiria kitu gani mkuu....
 
ID yangu Mzizi Mkavu kama ujuavyo Mzizi mkavu hauchimbwi dawa. Na avatar yangu ni ya Madawa (Herbalist) haya tena sjuwi wingine ID zao na Avatar zao zinaashiria kitu gani mkuu....

Medali?

user-online.png
MziziMkavu

Today 01:59
#86


JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
 
nasubiri useme neno na juu ya avatar yangu na unavyohis nilivyo.......
 
Hhhm. . nilipitwa hapa au nimeanza kupoteza kumbukumbu?

kongosho anaweza kuwa na jibu.....

by the way... hivi ile thread ya umewapa nini boys wa JF... imefikia wapi niliona kwenye saiti mira tu kwa mbaaali
 
Kongosho, em jaribu avatar yangu...

mkuu umenikumbusha mbali kuna siku mtu mmoja alifananisha identity na barbara hassan ,..... ulivyokuja juu!!! teh teh hatasahau i guess..... ila kiukweli kidogo ufanane na kipanya
 
Back
Top Bottom