What does ID and Avatar say about someone?

Nnacho mkwe,nitakukodisha. Tena cha kidhungu,ukifanikiwa kusoma basi NN hakusumbui tena.
Mi nahisi tunalogana,ujue mtu na mkwewe wanatakiwa wawe wanagombana. Tugombane next wknd basi juu ya kope
mkwe inabidi unitaftie hayo mazaga zaga.lol, hivi na wewe hunilogi kweli maanake nisipokuona jf lazima nisign out muda huo huo.
 
Hehehe,ntashukuru manake ilikua inanikumbusha wale inzi wa kizungu wa buluu hivi unawakuta wamefunika utumbo hadi hauonekani!

Hahahaha ukifika mnunuzi unaogopa lakini muuzaji wala anakukatia pamoja na rufu
 
Nnacho mkwe,nitakukodisha. Tena cha kidhungu,ukifanikiwa kusoma basi NN hakusumbui tena.
Mi nahisi tunalogana,ujue mtu na mkwewe wanatakiwa wawe wanagombana. Tugombane next wknd basi juu ya kope

mkwe mchumi!!! kukodi na hela kuazimwa bure. mi nataka kuazimwa. next wk tugombane kweli, ni kinyume na taratibu za ndoa kwa mtu na mkwewe kupatana. lol
 
Mikataba feki na Rejao avatar zenu zinanichekesha, halafu features zenu kama zinafanana kidogo, mna maneno machache lakini critical ila Rejao X-Ilborian mwenzangu kuna kitu unaniboa kushabikia mafisadi na wahujumu uchumi wa Tanzania.
 
King'asti avatar na maneno yake yanaonesha Mwanamke wa kazi, self confident, and many more.......
 
Mwanakijiji one of members walinivutia kuipenda JF tangu mwaka 2006 when I was just a guest, the great thinker akiwa na avatar ya mzee alobeba jembe........ maarufu zaidi kwenye jukwaa la siasa
 
Back
Top Bottom