What do you love about Tanzania?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
834
Japo tuna endeshwa na mafisadi, serikali mbovu, miundombinu mibovu na kadhalika lakini tuna mengi ya kuji vunua juu ya Tanzania. Je ni nini una jivunia kuhusu Tanzania? Maana hizi story za ufisadi zime tufanya kwa muda tukazanie mabaya ya Tanzania tuki sahau yale mazuri. Mimi binafsi I love the social life in Tanzania.
 
No particular reason other than it is home, where my heart lies.Nyumbani ni nyumbani.
Sitakuibia hata thumni Tanzania !!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom