What do you do when your second half locks you out of the room?

The Boss yaani sio hadithi tu, hapa ninapopoishi kuna mwanaume mmoja alikuwa na nyumba ndogo jirani tu. Akichelewa kurudi nyumbani labda saa 4 usiku mke anamfukuza na kumwambia arudi kwa "huyo huyo uliyekuwa naye aliyekuchelewesha". Mwanaume akiambiwa hivyo anaenda kweli kwa nyumba ndogo analala hadi asubuhi!

Huyo mwanamke hakushtukia dili? Na hii habari iliishaje?
 
Back
Top Bottom