Wadau wa Tech naombeni msaada wa soiftware gani inafaa kuanzia kutengeneza Mobile apps...kama umetumia mojawapo na ukaona ina msaada sana please list it here. I AM INTERESTED .
Wadau wa Tech naombeni msaada wa soiftware gani inafaa kuanzia kutengeneza Mobile apps...kama umetumia mojawapo na ukaona ina msaada sana please list it here. I AM INTERESTED .
kudos!!Hapa napo ni shule kaka...au shule unataka hadi pawe na madarasa, mwalimu mkuu, kaka mkuu na bwalo..WAKE UP
ADROID
Kwa android the best free applction development IDE ni ECLIPSE . kwenye ecipse utaongeza Adroid SDK pamoja na AVD( Emulator ya simu mbalimbaliza Adroid)
Guielines/tutoarilas za kudevelop zipo tovutii ya android
WINDOWS PHONE
Kwa Windows Phone apps soma hapa msdn utakachohitaji ni VISUAL studio 2010 exppress for windows Phone (free) . Kama wewe ni deveoper mzuritayari na ukonjema siku nyingi tafuta VIsual STUDIO profeesional au VS developer .Zina facilities za ziada zamambo kama testing na debuging
Symbian- Etc
Just make google your friend.
NB
Ndio maana labda watu walikujibu majibu general na sio specific. Binafsi am not a pro mobile app deveoper neitehr I can callmyself a Pro- programmer lakini nimejaribu jaribu kwav itendo kufuata baadhi yatutoria.
Hapa napo ni shule kaka...au shule unataka hadi pawe na madarasa, mwalimu mkuu, kaka mkuu na bwalo..WAKE UP