What did you want to be when you grew up?

I was alway dreaming about being a footballer as a kid, playing in one of the major european leagues, I can recall a number of countless nights when I have seen people cheering me up infront of their TVs! At one point, I came to terms with this and accepted that it wasnt gonna happend. I have got a very good voice and this pushed me into another world of night fantacies! A world class musician, you dont know how many times I have sung in a stadium full of people! Blame my parents, blame the system, blame everyone else but not me- none of these have happened and its never gonna happen.
To be frank I never thought in my entire life that one day I'd be doing what am doing today- I cant say am enjoying it but am used to it and life goes on!

KKN,
Do you believe that kama ungezaliwa katika nchi inayothamini michezo/art basi ungekuwa the best?
 
...all i wanted was to be "willy Gamba+ Spear + James Bond", enzi hizo za umaarufu wa vitabu vya Njama, kikosi cha kisasi, etc, comics za Spear na movie za James Bond,....Kumbe the reality doesnt add up to the fiction characters, I ended up being me!

No regrets!
 
KKN,
Do you believe that kama ungezaliwa katika nchi inayothamini michezo/art basi ungekuwa the best?

Achilia mbali nchi mkuu, kama wazazi wangu (na nadhani asilimia kubwa ya wazazi wa kibongo ndivyo walivyo!) wangeweza kutambua interest zangu zipo wapi na wakanipa full support, saa hizi wangekuwa wanaishi maisha ya kifalme! Badala yake kila nilipoenda kupiga 'chandimu' nikirudi home ni viboko tu- utaskia wakisema "kusoma hutaki, kazi ni kucheza tu mamipira" na utamskia Bi Mkubwa akisema " mwangalie jinsi alivyochafuka, hivi unadhani sabuni zinaokotwa?". Nikijikakamua nikiimba kwa sauti kidogo "Wewe mshenzi, kapigie makelele yako nje!"
Tukija serekalini ndio usiseme kabisa, mpira tulikuwa tunachezea barabarani kwa kuwa hakukuwa na eneo maalumu kwa shughuli kama hizo.Kaeneo ka wazi kalikokuwa mbali kidogo na maskani mara tukaskia kameuzwa kwa mwarabu na anataka kujenga hoteli! Kipindi cha michezo shuleni anafundisha mwalimu wa darasa ambaye hana utaalam wowote kuhusu michezo!
 
...all i wanted was to be "willy Gamba+ Spear + James Bond", enzi hizo za umaarufu wa vitabu vya Njama, kikosi cha kisasi, etc, comics za Spear na movie za James Bond,....Kumbe the reality doesnt add up to the fiction characters, I ended up being me!

No regrets!

Duh sasa product ya hizo characters tatu sijui ingetoa Mchongoma wa aina gani? I guess Superman..... au sio?
 
Duh sasa product ya hizo characters tatu sijui ingetoa Mchongoma wa aina gani? I guess Superman..... au sio?

...we acha tu! anyway, the past shapes the future, muhimu mkono uende kinywani!
 
A teacher and a teacher I became. Probably am one consistent individual. You never know...........
 
Nilitaka kuwa Polisi tena FFU kwa sababu nilipokuwa nawaangalia namavazi yao hasa kipindi wakiwa na majibwa yao nafurahi sana.bBaadae nilimaliza darasa la 7 nikaona kumbe kazi ile haina issue;sekondari hasa form 1 nilipenda sana kuwa Project Cordinator baada ya mmoja wa wanafamilia kuwa anatanua na Land rover 110.

Baadae form2 nikapenda kuwa mwandishi wa habari baada ya kumzimikia Leonard Mambombotela na kile kipindi chake cha Je huu ni uungwana? nikaja kujua kuwa kazi ile hailipi zaidi ya kupata sifa tu.Nikaanza kupenda kuwa Economist, nikachukua masomo hayo Alevel.

Chuoni sikusoma Uchumi.Guess what? sasa hivi nabeba box.Sikutegemea kuifanya kazi hii.
 
Hili swali niliulizwa na mama yangu nikiwa mdogo, my answer has always been.....being a Pilot (aircraft)! I am still fascinated by the idea.

But, I settled for........and I believe I am in the right place.

Wanasema "Maji yanafuata Mkondo", nami naamini kabisa kwa kuwa nimefuata nyayo za mzazi. Hata shule alizosoma nami nimepita huko huko, kuanzia elimu ya chini mpaka mwishoni! Nature ya kazi, etc etc, Sikushurutishwa, It just happened...

PS: Tafadhali QM usije hapa kuanza ku-challenge my belief, siko na-mood leo!
 
PS: Tafadhali QM usije hapa kuanza ku-challenge my
belief, siko na-mood leo!

Duh yaani nimecheka kwelikweli!!!!

Haya Kisura, sina la kuandika kuhusu what you wanted to be, or what you are doing now......
 
Duh yaani nimecheka kwelikweli!!!!

Haya Kisura, sina la kuandika kuhusu what you wanted to be, or what you are doing now......

Nazungumzia ile "Maji Kufuata Mkondo" belief...Manake hamkawii ku-get philosophical about it.
 
Sasa tutachambua vipi wakati hatujui hata mkondo wenyewe ni wa nini?

Acha field yangu for a minute, tazama "Maji Kufuata Mkondo" statement, (just as it is), unaionaje hiyo? ina ukweli wowote? au ni moja ya misemo unayo-ichukia?
 
Nivyokuwa mdodo pre primary nilitaka kuwa dada, (housegirl) kwani haamshwi, halazimishwi kwenda shule anakaa tu home, primary nilitak akuwa sista baada ya kuwaona kanisani wanavyohug watoto.
Baadae niltaka kuwa doctor, then Pilot lakini in highschool nilitaka kuwa engineer, hadi vyuo, na nikasomea, baadae nilitaka kuwa mama wa nyumbani, sasa nataka kuwa social advisor. lakinilive dream yangu ni kuwa na social centre maeneo ninayoishi ambayo itakuwa na library, gym, kids entertainment cente, meeting and small gathering centre, lakini kila mtu ananikatisha tamaa eti nitakufa njaa, sasa nifanyeje?
 
Kikubwa mazingira tunayoishi yanatushape sana. Mimi nilipokuwa Primary I wanted to be a teacher..kwa sababu I was deep in Shinyanga sikuwa na role model yeyote. Nilipoenda Seminari (tulikuwa tunapiga jembe mno!!) I worked so hard to be afisa kilimo maana by then ndo walikuwa na relatively maisha mazuri na walikuwa wanendesha piki piki...maana huwezi amini lakini Nilisoma Agriculture kwa moyo na nguvu zangu zote! Well after school all my eyes were on Tengeru and then SUA! (by then huko Bush hata Chuo Kikuu hujui inakuwaje maana huna guidance na walimu wenyewe hawajui...I guess wengi tulio na similar stories mnalijua hili)

Sijui what happened, nilipoenda A level..nikasema sasa nitakuwa economist..all my energies were on economics and INDEED I PASSED MY ECONOMICS, I was just warming up for the HILL to do my degree. But guess what, jamaa aliyenifanyia application ya chuo akaniombea kozi nyingine!!!! Bila hata kuniuliza!! But he did in good faith! Honestly hiyo kozi ndo nilifanya and I DONT REGRET WATSOEVER for what I ended up with professionally. It coudnt be better! AT TIMES NDO NASEMA LABDA KWA SABABU YA MAZINGIRA I DIDNT KNOW WHAT WAS GOOD FOR ME...Ila huyo jamaa mpaka leo namshukuru sana sana....

So, kama walivyosema wenzangu hapo juu..I didnt become a teacher, afisa kilimo/mifugo au mwanauchumi..But Iam not regreting, because I ended up with something more good I guess.

All in all wazazi na walezi wana nafasi kubwa sana ya kuwashape watoto wao na kuwasupport katika vipaji vyao. Lakini hii inategemea vile vile uelewa wa mzazi..kama mzazi ni mkulima wa pamba..the man academically hatakuwa na msaada mkubwa. Mfano ukimwambia unataka kwenda SUA atakuona lofa..maana yeye ni mkulima na anaona kilimo hakiwezi kukufikisha popote... Vile vile hata peers wetu wanatuaffect. Kama kijijini kwenu kuna hakimu, mhasibu au daktari..basi anything you will be advised by your parents is to be like them...unaona mtoto wa fulani?...man..those were the days.

Masanja,
 
nilitaka kuwa mhandisi,mara nikataka kuwa daktari tabibu,mara nikataka kuwa mfamasia mara nikawa............!Thank God iam who iam yaani nikabaki kwenye sayansi ila upande mwingine!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom