What causes a delay in menstration?

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,275
745
Wakuu salama?
Naombeni msaada wa mawazo yenu kuhusiana na kichwa cha uzi. Nini kinasababisha delay ya menstration au labda ovulation?
Kwa mfano cycle yangu ilikuwa 28 days constant kwa muda mrefu,lakini the last two cycles zimekuwa 35 na 36,nini tatizo?is it something to worry about au?kama kuna madhara ni yapi na ni vipi ninaweza kuyatatua?
Natanguliza shukrani.
 
check with your dr. may be stress or hormonal changes, alot of things. but don't woryy
 
Back
Top Bottom