What can you cook best of all

Mkate wa mofa na wa kingazija sijui (maybe under different names)
Marhem bibi yangu alinifunza mikate na mikate
Kuna mkate mngine unaitwa wa mawele, etc.
sikumbuki jina. but ukinipa ingredients nitakumbuka.
Ugali wa muhogo najua sana. Nakupikia na dagaa wa mawese.

hongera Mwali........ww unafaa sana kuwa mke mwema..
 
Mkuki kwa nguruwe.......umeona uchungu wake TANMO

Siku za nyuma ulikuwa ukiniuliza sana hilo swali, lakini leo nimetoa dukuduku langu....

Mkuu kumbe unalipiza kisasi?
Anyways, sorry kama nilikuudhi..

Hapana Mwali......huyu mtoto zamani alikuwa ananiudhi sana na maswali yake, kila

nikimpotezea yeye bado tu anakomaa kuniuliza uliza kama nini cjui....

Haya basi, amesha pata ujumbe, I hope yameisha
mbona hujaniuliza mimi najua kupika nini zaidi?

Mwali umesomea conflict resolution nini?
Nashukuru kwa kunitulizia Boflo manake alinidhamiria kweli,, lol
 
Back
Top Bottom