What Came First, the Chicken or the Egg?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
This age-old question really has a simple answer. Attempts to answer it, however, and attempts to get around implications of the simple answer are often quite convoluted.

What Came First, the Chicken or the Egg?
 
its all about God's creation!!
Mungu aliwaumba ndege (kuku) majike kwa madume ndiyo wakataga mayai!!

Kwahiyo kwanza alikuwepo Mungu, naye akatengeneza Kuku"Ndege" Male na Female halafu wao wakataga mayai!

Ingawa wakuu wa evolution wanaweza kuzua zali.

I think you are correct mkuu.
 
its all about God's creation!!
Mungu aliwaumba ndege (kuku) majike kwa madume ndiyo wakataga mayai!!

Not that simple!!! na huyo MUNGU unaweza kueleza alitoka wapi? (uache stori za alikuwaepo toka kale! wakati hata bible yenyewe inasema kuna MWANZO!)
 
Swali hili katika science na evolution linajibika. Lakini kwa kutumia imani na story za uumbaji utagonga mwamba.
 
This age-old question really has a simple answer. Attempts to answer it, however, and attempts to get around implications of the simple answer are often quite convoluted.

What Came First, the Chicken or the Egg?

ukijua ulikotoka wewe basi umepata jibu! ila kama hujui ulikotoka wewe mhh pole. asiyejua maana haambiwi maanda.
 
Not that simple!!! na huyo MUNGU unaweza kueleza alitoka wapi? (uache stori za alikuwaepo toka kale! wakati hata bible yenyewe inasema kuna MWANZO!)

Kuna Mwanzo upi mkuu?

Well I think Kuku na Jogoo ndio walio tangulia.
 
one thing that we do miss out as human beings, is the fact that we see things is 3dimensions ..! we lack the 4th dimension that wld unlock alot of mysteries surrounding creation..!

.....mmeumbwa ili mkitazama, msione...na mkisikia msielewe...! the bible.

that is the 4th dimension that we miss!

it all has to do with the intelligent design..! period!!!!!
 
This age-old question really has a simple answer. Attempts to answer it, however, and attempts to get around implications of the simple answer are often quite convoluted.

What Came First, the Chicken or the Egg?

It all depends on what you mean by 'Came First'
 
Back
Top Bottom