What attracts women to older men?

Mmmmh... Basi hapo wadada ndo hamtuelewi kabisaa!!!
Hahaha!!! Sio hivyo Asha lakini everything has a way if i know you love money i don't have that kind of money you need why bother staying with you maana najua kila siku nitakuwa naumia tu I'd rather let you go na ukamtafute huyo mwanaume mwenye pesa ambaye unamtaka wewe other than niwe naumia kila siku kuwaza kukutafutia hela wewe tu instead of building our lives.
 
TF hivi unaelewa jinsi ladies tulivyo wataalam wa kuficha tabia fulani kama tunajua huwezi ipenda au kumudu... Unaweza kuta sector zingine za muhimu uko fit - kukuacha hakuachi ila tu anakua na ziada wenye pesa.
 
Umeona eee mi sina hata mbavu hapa mpaka nashindwa nisemeje watu wamepinda lol

Yaani acha tu kumbe kimatendo mambo haya yameshamiri vibaya na yanapokelewa kwa hisia mbalimbali mmh
 
TF hivi unaelewa jinsi ladies tulivyo wataalam wa kuficha tabia fulani kama tunajua huwezi ipenda au kumudu... Unaweza kuta sector zingine za muhimu uko fit - kukuacha hakuachi ila tu anakua na ziada wenye pesa.
That's for sure hapo siwezi bisha kabisa
 
Kwenye hili hauhitaji kufanya research huko mitaani tunakoishi we have seen things like this happening, wadada wengine wanakwambia kabisa " I am getting married, or i am dating that older man not because i love him but it's because of his money and fame hanisumbui kama hawa vijana wengine" kwahiyo nnunu you can understand
Eti nyie vijana mnapandia kama mnaendesha "gutta"Limebeba mzigo wa pickup!!Lakini mzee ananijali nadeka pesa napewa sihitaji kuumiza kichwa!!Ila nikiwa na hamu natafuta kaserengetiboy kangu kanakuja kwa masharti kasizoee!!Nilimsikia mdada mmoja!!!
 
Hahaha!! KK huwa wanasema vijana kama vile wako kwenye Formula 1 wakati mzee yeye zake ni kutoka Jangwani hadi Fire ndio yuko highest speed KK wewe utatoka Mbagala hadi Tegeta raundi karibia nne
 
Ladies bwana why dont you accept tu kwamba kinachowapeleka kwa babu (sio wa Loliondo) ni shida za dunia?,
 
Hatujakataa, hio lakini ni moja ya sababu... na si woote, wale waliobahatika kua watambuzi hugundua babu/bibi humuweka mwenzi wako katika hali ya kukufuata kila utakacho... Sasa nani anataka zezeta! after all personally i would really want some actions kama kuonewa wivu - misukosuko kidogo, n.k... inafanya kila mwenza ku appreciate mwenzie zaidi for you know what length the other can go for you.
 
Asha D first born wako ameishafika 18 nije kugonga hodi najua wewe hauwezi kunitoa ndukii mzee ndio anaweza kunitoa ndukii hata kunishikia gobore lol
 
Duh... unfortunately she is 10... but wadogo na marafiki wapo TF
 
Nimekumbuka kuna dada mmoja aliongea hivi " mmmh vijana wa siku hizi balaa mpaka mtu unaogopa, yaani kakubembeleza mmekubaliana yaani mnatoka naye posta mpaka kimara kitu kimetuna mu-msuruali utadhani mnaenda gombana? Heri mzee yeye mpaka mfike na umbembeleze ndo mambo yanaanza" Nilikuwa hoi kwa kicheko, Pengine wanakimbia ile shughuli teh teh
 
what else other than Benjamins?

Benjamins makes the world go round....wazee wanatoa hela nyingi na hawachoshi (kamojaaa tu) vijana hela za mawazo, uongo na ahadi hewa nyingi na kisha mechi wanakamia ile mbaya......na ukishakolea mizinga wanapiga wao kwako (kwa mdada).
 
Mara nyingi ni NJAA TU ,wakishikishwa vihela na visuprise vya kizamani wanapoteza maono siunajua dada zetu hawa HISIA NYINGI ..
 
Hahaha Revolution wanataka kwenye mechi ya nyumbani tu washinde 4-0....
 
Mara nyingi ni NJAA TU ,wakishikishwa vihela na visuprise vya kizamani wanapoteza maono siunajua dada zetu hawa HISIA NYINGI ..

Kaka hujaona wadada pesa wanapokea kwa vijana wadogo wenye pesa lakini hataki kuishi nae akiamini kua atamsumbua waki oana, other wise awe older?
 
Back
Top Bottom