What are your favorite philosophical and political Quotes?

Thanks JingalaFalsafa. Ingawaje katika uhalisia wake "demokrasia inastahiki kulindwa [kwa njia za kidemokrasia] popote pale ulimwenguni," tatizo la Afrika (in most of it) hakuna demokrasia bali viongozi wanatumia mgongo wa demokrasia kujenga na kulinda himaya zao ambazo ni mbaya zaidi kuliko udikteta.

Demokrasia ndiyo impayo haki bilionea kuweka watumishi nyumbani kwake. Ndiyo impayo haki mtu kununua prado, vx ama benzi hali jirani yake hana pakulala, hana mavazi, hana chakula, amekosa madawa, nk...fikiria jirani huyu mnyonge akiamua kuchukua panga kwenda kuiba japo mikate miwili store kwa jirani yake tajiri, pana mlinzi na bunduki, kitakachotokea tunakijua. "Right to own and protect private properties" itamlinda kwa mauaji aliyofanya, MANTIKI JE? Japo mwizi alisukumwa kuiba kwa njaa yake ili asife, demokrasia haijali hilo. Hiyo ndio Demokrasia,kushangaa bunduki ndani yake, ni sawa na kufuga manyigu ukataraji kulina asali.
TUKUBALI TU, DEMOKRASIA SIO NJIA SAHIHI YA KULETA AMANI, UTULIVU, na MAENDELEO kwa nchi zetu za kiafrika. Pamoja sana!
Mungu wetu anaita!
 
ni kweli kabisa demokrasia si lolote katika maendeleo..
Ndio maana hata fidel castro aliondoa kile kilichoitwa demokrasia ya wamarekani,na kuanzisha staili yake ya utawala,hadi leo cuba isiyo kuwa na hiyo demokrasi ni bora kuliko nchi nyingi za kidemokrasia kwa mfano watu wake wana maisha mazuri,huduma za kijamii bora,hakuna haya madara makubwa ya kipato.hadi sasa wanalingana na U.S.A kwa life expectancy yaan miaka 78, vifo vya watoto na wakina mama ni hakuna..

Sisi na demokrasia uchwa ni umaskini kwa kwenda mbele..hovyooo sana
 
Mwisho wa siku tunatakiwa kuchukua hatua sasa, baada ya kuona, tusiache bora liende tu...watakaomia ni sisi wenyewe na watoto wetu. Nguvu yetu ni UMOJA na KUTHUBUTU!
Mfumo mbovu wa siasa, ni mama wa umasikini, ujinga, maradhi, unyonge, unyonyaji, uduni, matabaka, utumwa, ukoloni, nk. TUAMUE SASA! Mimi na wewe kwa pamoja tunaunda SISI, TUNAWEZA.
Mungu wetu anaita sasa!
 
When you rattle a snake,you must be ready to be bitten by it...john michuki
 
"Weakness of attitude becomes weakness of character."

"Anyone who has never made a mistake has never tried anything new." - Albert Einstein
 
"Uamsho ni wahuni na majambazi wa kubwa"

( nape, 9 june 2012)
 
''Mimi siyo mvua nikanyeshe Mtera ili kumaliza tatizo la umeme''J.Kikwete

''When people get sad they don't do anything,they just sit and cry over their conditions,but when they get angry they bring about a change''.Malcom X.
 
"I love Politics but I hate Politicians, only because Politics brings People Together but Politicians divide People Apart" - Mwambujule's Perspective
 
"Your happiness is the happiness of ignorance and your ignorance is it that keeps you in the prison. Which is your life" by Ken Saro-Wiwa.
My OWN: "Maisha ni furaha, kama haipo basi ni upuuzi. Na hakuna furaha ya mtu bali watu"
"Usipiganie haki, pigania usawa. Kwani usawa uzaa haki, lakini haki haiwezi kuzaa usawa"
Mungu wetu anaita!
 
An excuse is worse and more terrible than lie,for an excuse is a lie guarded- pope John paul 2
 
as nuclear power as the only nucler power to have used a nuclear weapons.the united has a moral responsibility to act- Barack Obama
 
you will know that forgiveness has begun when you recall those who hurt you and feel the power to wish them well- Lewis B. Smedes
 
Back
Top Bottom