What are the 'western countries'?

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
Wakuu

Leo nilikuwa naangalia mjadala kuhusu hii mada katika Russian TV. Hoja iliyopo ni kuwa nchi za magharibi ni zipi? Je huu 'umagharibi' unatokana na sehemu nchi zilipo kijiografia au ni ideology na mifumo ya nchi husika?

Hoja zikatolewa kuwa umagharibi huu ni mifumo ya nchi na kuwa kuna baadhi ya nchi zilipo magharibi lakini huwa hazichukuliwi kuwa ni western eg Russia na hii ni kutokana na misimamo ya nchi hizo. Na kuwa kuna nchi za west ambazo haziko full westernised.

Je wewe waonaje is it a territorial presentation or is it more than geographical notion?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom