What are the similarities na differences btn Shekh Yahya and L.Mrema

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Tabia zao kijamii, kisiasa, kiuchumi, kielimu, kimaslahi na kimienendo

................
images
.................
images

Labda nichokoze kimienendo inasemekana wote ni usalama wa taifa, kweli?
 
Hapana,mmoja mchawi na anatumia mashetani, mwingne ni muabudu Mungu. Mmoja anatafuta jinsi ya kuua viongozi wakati wa kampeni mwingne uenda kugombea uwakilishi bungeni. Mmoja ni mjasiriamali,mwingne ni muajiriwa! Mmoja ni mlinzi wa rais wakati wa giza,mwingne ni mtetezi wa rais hadharani. Mmoja ni ThesisLess PhD holder/gift paper PhD na mwingne ni mbumbumbu. Wote si mfano wa kuigwa ktk jamii.
 
hahahaaaaa haya bwana mi sina cha kusema
 
Back
Top Bottom