What are the list of things that makes your wife & husband or fiancee successful??

ankal ushakamilisha list au bado?

Ooh nilisahau... mtu mcheshi kama wewe ni muhimu sana mana you can make someone forget all problems/worries kwa kumchangamsha, uko mcheshi na friendly..my wifi must be smiling all the time:)))
Ankal bado listi inaendelea, unafikiri inaisha hiyo??! ni infinity.....ha ha
 
dah! hii post ingekuwa imetoka kwa wazembe wengine wala nisingejali, lakini inatoka kwa her majesty BJ acha niseme senks bana!
hapo red samtaimu kama haujaacha hela mezani hata utoe joke gani unakuta mwenza kavimba kama mgombea alokosa kura. khaa!
 
Your Majesty (inanikumbusha tamthilia ya 'The Tudors)..ha ha
Bwana eeh muhimu kuchangamsha,akili inatulia pia..You're incredible a good entertainer!!..weekend njema!!
 
I am on my way to venice beach u are welkum
 
hivi unazani natania? wee endelea kushika pembe tu bana. halaf ile signecha ya AD nilizani inakuhusu wewe ujue. kumbe uko hai?, sasa alimaanisha nani?
Dah! Aisee bora nikunyweshe ile Chloride Exide.
 
hivi unazani natania? wee endelea kushika pembe tu bana. halaf ile signecha ya AD nilizani inakuhusu wewe ujue. kumbe uko hai?, sasa alimaanisha nani?
Ngoja nikutafutie wale wahuni wa tandale kwa mtogole
 
Back
Top Bottom